zamboni JF-Expert Member Aug 8, 2011 364 179 May 28, 2015 #1 Msaada, wapi wanauza amazon kindle kwa hapa Dar es salam?
Mwl.RCT JF-Expert Member Jul 23, 2013 13,580 18,618 May 29, 2015 #2 zamboni said: Msaada, wapi wanauza amazon kindle kwa hapa Dar es salam? Click to expand... Upatikanaji wake ni mgumu kwa Tz Agiza ebay .com au toka amazon .com ndani ya siku 14 hadi 21 utakuwa umepeta mzigo wako.
zamboni said: Msaada, wapi wanauza amazon kindle kwa hapa Dar es salam? Click to expand... Upatikanaji wake ni mgumu kwa Tz Agiza ebay .com au toka amazon .com ndani ya siku 14 hadi 21 utakuwa umepeta mzigo wako.
Belo JF-Expert Member Jun 11, 2007 12,882 10,193 May 29, 2015 #3 Mwl.RCT said: Upatikanaji wake ni mgumu kwa Tz Agiza ebay .com au toka amazon .com ndani ya siku 14 hadi 21 utakuwa umepeta mzigo wako. Click to expand... Amazon huwa wanaship vitu kuja Tanzania ?
Mwl.RCT said: Upatikanaji wake ni mgumu kwa Tz Agiza ebay .com au toka amazon .com ndani ya siku 14 hadi 21 utakuwa umepeta mzigo wako. Click to expand... Amazon huwa wanaship vitu kuja Tanzania ?
Mwl.RCT JF-Expert Member Jul 23, 2013 13,580 18,618 May 29, 2015 #4 Belo said: Amazon huwa wanaship vitu kuja Tanzania ? Click to expand... HAPANA, Huwa haiwezekani Ku_ship kuja Tanzania, kama hii picha ionekanavyo:- Ila waweza kutafuta seller ambaye anaweza kutuma tanzania moja kwa moja. PIA inawezekana iwapo utatumia maelekezo ya kwenye hii Mada: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...unuzi-kwenye-mtandao-ebay-amazon-bestbuy.html Hitimisho Mleta mada kama hajawahi kuagiza vitu online, kwanza atumie muda kujifunza kupitia thread mbalimbali zilizopo hapa JF.
Belo said: Amazon huwa wanaship vitu kuja Tanzania ? Click to expand... HAPANA, Huwa haiwezekani Ku_ship kuja Tanzania, kama hii picha ionekanavyo:- Ila waweza kutafuta seller ambaye anaweza kutuma tanzania moja kwa moja. PIA inawezekana iwapo utatumia maelekezo ya kwenye hii Mada: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...unuzi-kwenye-mtandao-ebay-amazon-bestbuy.html Hitimisho Mleta mada kama hajawahi kuagiza vitu online, kwanza atumie muda kujifunza kupitia thread mbalimbali zilizopo hapa JF.
barafu JF-Expert Member Apr 28, 2013 6,726 32,818 May 29, 2015 #5 Unahitaji Amazon Kandle??Ninauza mimi
zamboni JF-Expert Member Aug 8, 2011 364 179 May 29, 2015 Thread starter #6 barafu said: Unahitaji Amazon Kandle??Ninauza mimi Click to expand... yeah nahitaj. unauza sh ngap?
Chief-Mkwawa Platinum Member May 25, 2011 30,721 39,812 May 29, 2015 #7 Kuna kindle za aina mbili Kindle reader - za kusomea vitabu nyingi ni black and white na vioo vya e-Ink Kindle fire - tablet kama ipad yenye kioo cha rangi
Kuna kindle za aina mbili Kindle reader - za kusomea vitabu nyingi ni black and white na vioo vya e-Ink Kindle fire - tablet kama ipad yenye kioo cha rangi
zamboni JF-Expert Member Aug 8, 2011 364 179 May 29, 2015 Thread starter #8 Chief-Mkwawa said: Kuna kindle za aina mbili Kindle reader - za kusomea vitabu nyingi ni black and white na vioo vya e-Ink Kindle fire - tablet kama ipad yenye kioo cha rangi Click to expand... Nataka kindle reader, paper white na yenye wiFI! isiwe na less than 4gb
Chief-Mkwawa said: Kuna kindle za aina mbili Kindle reader - za kusomea vitabu nyingi ni black and white na vioo vya e-Ink Kindle fire - tablet kama ipad yenye kioo cha rangi Click to expand... Nataka kindle reader, paper white na yenye wiFI! isiwe na less than 4gb
M mchajikobe JF-Expert Member Aug 14, 2009 2,652 1,238 May 30, 2015 #9 Ninayo hiyo unayoihitaji nicheki kwa namba hii 0713535430
hekimatele JF-Expert Member May 31, 2011 9,884 2,781 Sep 17, 2016 #10 Aliyekuwa anahitaji kindle ashapata au bado? Kama Bado ana uhitaji anitafute nimuuzie kindle basic paper white
Aliyekuwa anahitaji kindle ashapata au bado? Kama Bado ana uhitaji anitafute nimuuzie kindle basic paper white