Hii issue nilifwatilia mwaka jana ila naona kwa nchi yetu ni ngumu maana hatuna access ya PAYPAL.
Mbaya zaidi viongozi wamejazana pale wizarani wakilelela vitambi vyao.
PS: Nimejaribu kucheki naona kama kuna uwezekano... ngoja niifwatilie vizuri maana ni muda kidogo..