Daktari wa Manchester
JF-Expert Member
- Jun 1, 2020
- 350
- 405
Kama kichwa Cha habari hapoo juu kivyoeleza hivi Kuna mtu amaesha wah fanya Amazon FBA humu au kwa Tanzania 🇹🇿 inawezekana
FBA kwa Tanzania haiwezekani.kwa Tanzania 🇹🇿 inawezekana
Ndio nini hiyoFBA kwa Tanzania haiwezekani.
Fafanua mkuu, Amazon FBA ndo nini ?
FBA kwa Tanzania haiwezekani.
.Fafanua mkuu, Amazon FBA ndo nini ?
Ndio nini hiyo
.
inawezekana mkuu.. mwezi wa 6 mwaka huu amazon wameongeza nchi ambazo unaweza kujisajili kama amazon seller na tanzania ikiwemo.
Bado sana na ndo mana kuwa tz Kuna opportunity tunazikosa mzee
inawezekana mkuu.. mwezi wa 6 mwaka huu amazon wameongeza nchi ambazo unaweza kujisajili kama amazon seller na tanzania ikiwemo
View attachment 2027651
Amazon
sellercentral.amazon.com
Ngoja waje kukupa muongozo...
Yan hii fursa inaniumiza kichwa sana.Sijui tunakwama wapi labda mtu wa nnje asajili account alaf uifanyie kazi ,vinginevyo haiwezekani
Sana sanaAnhaa ila ni fursa nzuri sana
Sana sana
Nilifuatilia ila niliiona katika Etsy.com ipo ila tatizo sio wide sana
subiri niione ,kuna printify pia ,ingawa hawa inahitajika uwe na Online store na pesa ya kuagizia mzigo ukipata odasubiri niione ,kuna printify pia ,ingawa hawa inahitajika uwe na Online store na pesa ya kuagizia mzigo ukipata oda