Amazing stunts.....!!!!!!

Sipati picha kama Vibaka wa Bongo wangekuwa watu wa mazoezi na kuweza kufanya hivi, wangetesa sana mitaani.... kuiba na kukimbia kwa kuruka ruka nyumba hadi nyumba hakuna wa kukamatwa na kuchomwa moto...tatizo mloooo
 
hahaha ni kweli mkuu huyu akiiba humkati aisee anapotea anaacha vumbi!
 
duh! hatari... tafadhali, weka mbali na watoto!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…