Amazing Quality Cement Blocks (Matofali) at 800/= Tsh. Only..!!

Ok nadhani mkuu mleta mada hizi feedback utafannyia kazi, unajua customers ni watu wa ajabu sana, perception tu inaweza kukuharibia biashara yako kabisa ukakosa wateja fulani. hii ni changamoto kwako, you might consider to change the brand name to get more accepted by your different segments of customers so that you can increase sales and margins. By the way, nafanya biashara kama yako, je unaruhusu competitor kukutembelea? cheers.
 
Ni kwel mkuu,nakubaliana na wewe kabisa,niko mchakaton kufanya hivyo,Unakaribishwa sana mkuu,tunaweza kubadilishana mawil matatu.
 
Karibun wateja wetu,mzigo upo,umekauka na kukomaa vizur tayar kwa ujenzi.KARIBUNI.
 
Matofali,Pavers,Louvers,Panels,Pots n.k vyote ni bora na kwa bei poa,KARIBUN.
 
Tunafurah kutimiza oda za wateja wetu ndan ya wakat,karibun sana wengine pia mpate matofal,paving blocks.panels za ukutani,louvers n.k...
 
ndugu wateja wetu karibun mzugo upo wa kutosha.
 
Karibun sana wateja wetu,mwez mzima tulikua busy sana na oda za wateja wetu,karibun wengine pia.
 
Karibun saana wateja wetu,mzigo upo wa kutosha,jenga imara na tofali zetu.
 
Habar za majukumu wateja wetu,karibun saaana,mzigo wa kutosha unapatikana sasa wa matofali,pavement blocks,panels,louvers n.k......
Karibun sana.
 

Mh!..hiyo tafsiri yako sijui umeitoa wapi, naona unajaribu kufukia ukweli. BTW, muuzaji alishasema kwamba wote mnakaribishwa, bila kujali dini! Japo moyoni anajua nia yake wakati wa kusajili kampuni ni kwa nini alichagua HALAL, maana ya halal siyo origina, mwambieni aseme maana halisi.
 
Wateja wetu karibun sana,tulikua busy sana na oda za baadhi yenu,tuna tofali bora,pavement blocks,panels,louvers n.k...........Karibun sana kwa bidhaa bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…