Amazing Facts

247

Senior Member
Mar 29, 2016
188
197
inachukua sekunde 7 baada ya kumeza chakula kufika tumboni
Mtu akifa,ubongo hutumia dakika 15 kumalizia shughul za mwilini
mwanamke ndio kiumbe chenye huruma zaidi na kikatili zaidi hapo hapo
Urefu wa kidole gumba cha mwanaume ni Mara 3 upate urefu wa uume wake.
Mate ya binadamu yanaweza yakawa sumu
Wanawake washamaliza kusoma,
wanaume bado wanaangalia vidole gumba vyao

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom