Hiyo List ya kizushi....hata kama kama huyo Liumba ana pesa kiasi hicho..ina maana halikwa hafanyi kazi na muda wote ilikuwa kuchapa mabinti na wanawake tu??? I find this bullshit......sikatai kwamaba list yote ni feki...lakini too much exageration....List hiyo pia italeta athari kubwa sana hasa kwa wana ndoa wanaonekana kwenye list hiyo hata kwa wapenzi wa kawaida.....
The list is bullshit!
kama hii ndio kigezo cha kusema orodha hiyo ni ya kizushi ni bora ungeuliza kwanza hao warembo amewapitia kwa muda gani? siku, miezi au miaka na hapo ndipo uhoji kama alikuwa anafanyakazi au alikuwa anazingatia kifimbo cheza tu.
binafsi sina data za kusema hiyo orodha ni feki au la, ila huyu mkubwa umaarufu wake wa ngono umekuwepo mitaani kipindi sasa. kama hiyo orodha ni kweli hata kwa nusu tu basi hiyo chain yake naogopa hata kufikiria hususan ukizingatia hao watajwa wako kwenye eneo la umri unaotajwa kama "active" wacha tu
tatizo kubwa la watanzania wanaakuza sana rumours lakini wakiaambiwa ya ukweli wanakataa kuhusu huyo liumba hakuna uongo hapo yote ni kweli tu kama ni uongo hao wanawake wakatae hadharani,wenzetu majuu wana utamaduni wa kukiri jambo au tukio alilofanya,kwa mfano juzijuzi tu yule mshindi wa medali nane za dhahabu za olimpiki kule beijing michael phelps amekutwa akivuta bangi,yeye alijitokeza mbele ya waandishi wa habari na kukiri na kuomba radhi,sasa sisi watanzania hatuna utamaduni huo wa kukubali makosa
Komeni.....mnamuonea....32.Mary Stella (Alikuwa demu wa marehemu Mutie Mengi wa EATV)
Komeni.....mnamuonea....
Huu ndio unyanyapaa tunaoongea kila siku.
kwahiyo kama wana virusi? whats the big deal.
na hao waliootoa list je walikuwa wanaingia nao wahusika mpaka chumbani kuhakikisha tendo limefanyika na bila kinga?
please let us not draw conclusions over things we are not sure of.
from what I see in this list most women mentioned are successiful women and i find it very difficult to believe that they were tempted by promises of a red car or money. from my observations I see that most of them can afford to buy their own cars etc.
mi naona huu ni wivu tu kutoka kwa baadhi ya watu waliomua kuwachafua hawa madada.
good weekend
...I can imagine the number of people who are lying on the floor having heart attacks after reading this!!!!!!
...aaahhh kaka, huoni mtu akijua aliwahi 'kula-Uroda' na mmoja katika mzunguko huo basi itakuwa vyema naye akapime, ikibainika kaathirika aanze kutumia ARV kabla hajaathirika sana?
sio powa kila mtu siku hizi kusingizia eti amelogwa, au anaumwa typhoid kali ndio maana amedhoofu ilhali heshi kukohoa!
Kaka ni lazima utapata mshtuko baada ya kumuona mwandani wako kwenye hiyo list, habari ya kupima itakujia baadaye ukishazinduka (if at all utazinduka!) na akili kukurudia!
Kwa kuwa tumeshaanza kukiuka utawala wa kisheria na kikatiba, kama Mh. Waziri Mkuu na yule Mkuu wa wilaya ya nanihii walivyotuonyesha njia, kwanini huyu huyu Liumba asikamatwe na kupimwa kirusi kwa nguvu na kama ana ngoma afunguliwe mashtaka mengine ya kukisambaza kwa makusudi kabisa huku akitumia hela za wavuja jasho? Hukumu yake iwe ni kunyongwa mpaka afe!
Komeni.....mnamuonea....
I personally have known a lady who appears in that list for the last 11yrs,her husband walked away from her leaving her with 2 kids many years ago and she has struggled from being an employee to become a successful businesswoman and she is very hard working and it pains me for people to be so malicious.
Tutajisumbua kutafuta mtu wa kumnyonga bure wakati he is at the death's door. Akigundulika kuwa anasambaza kwa makusudi, basi abakie maabusu tu for a while then it will be his end.