Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 189
kapima hakupima lakini ni muadhirika wa siku nyingi, anajulikana,
Mkuu unaonekana unadata za uhakika kuhusu huyu mheshimiwa, je, aliconfirm kwako kwamba ana ngoma au wewe ulimpima au uliaccess hii information sehemu fulani kiasi cha kuwa na uhakika hivyo?
mkewe kafa kwa same ugongwa na binti yake ambaye yasemekana pamoja na ubaba alikua mchuchu pia ameshakufa.
Na hawa je, hali za afya zao kuwa walikuwa na ngoma na kwamba ndicho chanzo cha kifo chao-----How do you know this?
Ila tusiwaseme sana maana kila mmoja ana mpangilio wake wa maisha. wao maisha mafupi mradi una drive ni poa kuliko maisha marefu ya kishikilia mchuma.
Wao -------maisha mafupi, ndugu yangu....wewe unauhakika utakuwa na maisha marefu? Je, wewe ulishajaribu kurecall list yako (kama na wewe huwa unafanya/ulishafanya haka kamchezo?
Tusipende kutoa vibanzi kwenye macho ya wenzetu, wakati kwenye macho yetu kuna maboriti!
Ukiona hivyo unakula kona kali.kwahiyo kama wana virusi? whats the big deal.
Wanakijiji wenzangu,nimekuwa kimya for some time nilibanwa kidogo na haka ka shule naogopa kuwa mlupo nikirudi huko home.
........😎(whistling!)Kuhusu huyu bwana aka MZEE WA BOT,naona tuache tu hii cheni ni ndefu na kama tumeshapitiana kinoma mwisho wa siku utajikuta na wewe umo.
......😱Kuepusha matatizo yajayo naomba tuache kuiongelea hii.
...🙄Kwa kawaida sisi kina mama tukishapandisha nyege unaweza hata kutuingilia bila condom kwani huwa hatuangalii vizuri
...😱 pheeeeeeeeeeeeeewwwww!!!!kwa hiyo hata kujadili kama alivaa aipotulamba au la mnatuonea bure.
..........😕Kwani uamuzi wa kuvaa mwanzo hadi mwisho wa tendo ni wenu kina baba.Naomba tuongelee mengine samahani ni ushauri tu.
Wanakijiji wenzangu,nimekuwa kimya for some time nilibanwa kidogo na haka ka shule naogopa kuwa mlupo nikirudi huko home.Kuhusu huyu bwana aka MZEE WA BOT,naona tuache tu hii cheni ni ndefu na kama tumeshapitiana kinoma mwisho wa siku utajikuta na wewe umo.Kuepusha matatizo yajayo naomba tuache kuiongelea hii.Kwa kawaida sisi kina mama tukishapandisha nyege unaweza hata kutuingilia bila condom kwani huwa hatuangalii vizuri kwa hiyo hata kujadili kama alivaa aipotulamba au la mnatuonea bure.Kwani uamuzi wa kuvaa mwanzo hadi mwisho wa tendo ni wenu kina baba.Naomba tuongelee mengine samahani ni ushauri tu.
Nimekusoma......Kwanza sina "type" ya mademu mimi......
........😎(whistling!)
......😱
...🙄
...😱 pheeeeeeeeeeeeeewwwww!!!!
..........😕
NATASHA nawe umo???!!!!!!!!!!!!!!!!![/QUOTE]
Mkuu,
Nafikiri hapa si lazima na yeye awemo, ila coz yeye ni mwanamke so like anawakilisha wenzie waliolambwa.....anyway sitaki niusemee moyo wake!
Wanakijiji wenzangu,nimekuwa kimya for some time nilibanwa kidogo na haka ka shule naogopa kuwa mlupo nikirudi huko home.Kuhusu huyu bwana aka MZEE WA BOT,naona tuache tu hii cheni ni ndefu na kama tumeshapitiana kinoma mwisho wa siku utajikuta na wewe umo.Kuepusha matatizo yajayo naomba tuache kuiongelea hii.Kwa kawaida sisi kina mama tukishapandisha nyege unaweza hata kutuingilia bila condom kwani huwa hatuangalii vizuri kwa hiyo hata kujadili kama alivaa aipotulamba au la mnatuonea bure.Kwani uamuzi wa kuvaa mwanzo hadi mwisho wa tendo ni wenu kina baba.Naomba tuongelee mengine samahani ni ushauri tu.
Bora ungeendelea kuwa kimya tu,mana mi naona kama unakuja kuchochea ngono zembe tu hapa.
Yani unathubutu kusema suala la kuvaa mipira ni uwamuzi wa kina baba!!!Wewe una play part gani kuzui maambukizi ya VVU.
Nimesikitishwa sana na maneno yako, wewe ni miongoni mwa watu wanaofanya hili tatiyo liendee kuwepo. Acha uzembe,uzembe hata kwenye kulinda maisha yako mwenyewe.
Haya huko shule unakosoma ndo yeye alikuwezesha kufika huko baada ya kukulamba????
Wanakijiji wenzangu,nimekuwa kimya for some time nilibanwa kidogo na haka ka shule naogopa kuwa mlupo nikirudi huko home.Kuhusu huyu bwana aka MZEE WA BOT,naona tuache tu hii cheni ni ndefu na kama tumeshapitiana kinoma mwisho wa siku utajikuta na wewe umo.Kuepusha matatizo yajayo naomba tuache kuiongelea hii.Kwa kawaida sisi kina mama tukishapandisha nyege unaweza hata kutuingilia bila condom kwani huwa hatuangalii vizuri kwa hiyo hata kujadili kama alivaa aipotulamba au la mnatuonea bure.Kwani uamuzi wa kuvaa mwanzo hadi mwisho wa tendo ni wenu kina baba.Naomba tuongelee mengine samahani ni ushauri tu.
Natasha heri yako wewe you have spoken your mind, nimekufurahia hebu ni PM nione unaweza nisaidiaje hapa.....nafurahia uwazi wako!
Masa
Sorry mkuu Msanilo...aku PM ili akusaidie kny issue hii ya LIST ya AL or other businesses re. UWAZI na UKWELI......!
Nimekusoma......
kukujua???aah wapi, hujanisoma wala nini....acha kujifanya unanijua au kunielewa sana dogo wewe.....hakuna anayenijua, kunielewa, wala kunisoma hapa....
Thats ma shem.....kama Mrisho ngasaNatasha heri yako wewe you have spoken your mind, nimekufurahia hebu ni PM nione unaweza nisaidiaje hapa.....nafurahia uwazi wako!
Masa
kukujua???
kwani kijana hapa tunaongea au tunaandika?......nakusoma......nikusikilize?
Ndio.......umewahi kuona bubu anaongea kwenye simu?kwani kuongea lazima utumie mdomo?