Amani Yetu kamwe haitochezewa na vyama uchwara!

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,605
12,230
Kila chama cha siasa hapa ncìni kimeahidi kulinda amani na utulivu wa taifa hili na ili kupigia msumari vyama vyote vina ahidi kulinda umoja wetu na utaifa wetu ktk katiba zao.

Jambo linalo shangaza vyama hivi vikisha sajiliwa vina anza kusambaza sera za chuki, ubaguzi, udini na uchochezi vikifikiri serikali yetu ita kaa kimya nakuwachekea.

Nibora wewe mtanzania ukajuwa serikali yetu kamwe haitokubali ujinga wa aina hii uendele ktk jamii ya watu wengi walio elimika na kufurahia aman kwa zaid ya miaka hamsin sasa. Ikiwa kunachama kinafikiri kazi yake nikuleta chuki na kuwagombanisha wa Tz na serikali yao wakafungua aina ya vyama hvyo Kwenye nchi nyingine ila sio Tz.

Tunataka kila mtu ajuwe katiba yetu hairuhusu aina ya vyama uchwara vinavyo leta hali yasinto faham na kama wao wanataka kugoma nakudindishia serikali watoke ktk taifa hili watafute mahal pengne pakufanya mambo yao uhuru wetu nikatika kuidia serikali na kuwaletea maendeleo watu wake na sio kuleta maandamano na chuki zisizo na msingi baina ya serikal na wana nchi wake.

Imetosha!
 
Hayo yote yanafanywa na CCM ila kwa sababu una macho na fikra za kuzimu huwezi kuyaona. Nenda kwa Lusekelo akuombee mapepo yakutoke ndipo utafahamu CCM ndiyo wavurugaji wa amani. Over
 
Ukisha penda kwenda kwa waganga kuna siku uta ambiwa anaye kuloga ni mama yako usikatae. Ndivyo washabiki wa upinzani mlivyo. Mlitaka jizi lipewe ikulu ili mpate kupiga uchum.
 
Back
Top Bottom