Amani tunayoichezea hakika tutaikumbuka

Amani tunayoichezea hakika tutaikumbuka

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,779
Wasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
 
Wapo wachache wanaosema aheri wali nyama vitani kuliko Ugali dagaa kwenye amani.
Mitutu ya bunduki na kukimbizana tukusikie kwa wenzetu tu.
Wengine wanaombea jeshi lichukue nchi lakini tusiombe hio hali kutokea.Kulala mwisho ni saa kumi na mbili.Tunaropoka kwa kua tuna muda wa kuyafanya haya yanayoendelea nchini
 
Wasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
Tanganyika HAKUNA KITU KINACHOITWA AMANI.
Labda kama unamaanisha Amani KARUME.
 
Wasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
CCM ndiyo wataikumbuka. Maana hawataweza kututukana tena kwa amani
 
Kwa hiyo hao
Zipo namna nzuri za kutatua changamoto lakini linalofanyika kwa sasa ni kutukanana mitandaoni,kudhalilishana baina ya viongozi na viongozi na wananchi kwa viongozi
Jibu swali basi ndugu
Ni haki kuuliza,ila hii Vita ya maneno kati ya Kenya na Tanzania unaiona ni nzuri?
 
Kwani alieanza choko choko ya maneno ni nani? Wakenya waendelee kukaza maana sisi tumeshindwa
 
CCM wakiona hii mada yako watafurahi sana mana nyumbu kama nyie ndo mnahitajika huko.
Tofautisha amani na uoga.
Mkuu changamoto zipo lakini sidhani kwa yanayoendelea kwa sasa ndivyo inavyopaswa kua.Mimi sina upendeleo wa chama au dini. Msimamo na wimbo wangu ni amani
 
Kwani alieanza choko choko ya maneno ni nani? Wakenya waendelee kukaza maana sisi tumeshindwa
Kwa hiyo wanavyowachora viongozi na picha za kudhalilisha viongozi ni sahihi hata kama wamekosea?
 
Wasalaam,kumekua na joto kubwa la kisiasa ndani na nje ya nchi yetu. Amani imetulewesha mpaka hatuoni umuhimu wake. Viongozi wa kidini wamejipenyeza kwenye siasa na wanasiasa wamejipenyeza kwenye dini.
Kutupiana lawama ndio imekua msingi mkuu.Hawa wanasema wameonewa na wale wanasema sheria haifuatwi.
Siku amani ya nchi yetu itakapozimika tukawa kama Congo kwa tamaa za watu wachache kutaka mali na madaraka kwa nguvu hakika tutaikumbuka hii amani.
Wakulaumiwa ni CCM Tu. Kwa mfano, unawezaje kuifutia ruzuku CHADEMA kwa allegations za kitoto namna ile?? Tuna create tension isiyo na maana kisa kulinda Watu wachache tu
 
Kwa hiyo wanavyowachora viongozi na picha za kudhalilisha viongozi ni sahihi hata kama wamekosea?
IMG-20250528-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom