Passion Lady wangu noti zinanisumbua kuzisaka kila pembe ya nchiiwe pia nawe
hujambo wewe,ulipotelea wapi?
Passion Lady wangu noti zinanisumbua kuzisaka kila pembe ya nchi
Passion Lady wangu noti zinanisumbua kuzisaka kila pembe ya nchi
Ahsante honey na kwako pia.....
nipo bored naomba basi ukope hela twende hata beach mpenzi :A S-heart-2:
niko poa swr,mzima wewe
miss u much darlng!
Amani iwe pia nawe! Karibu tena! Siku nyingine ukiwa na shida ya working capital mtafute Bishanga na matajiri wenzake!
Miss you too!
wewe Passion Lady nikiwa sina hatutafutani kosa usikie ninazo ndo tunaanza kugandana kama gundi.ndio hatuagani jamani khaaa!
ushapata minoti nikutafute?
niko poa swr,mzima wewe
miss u much darlng!