Amani iwe kwenu

Crucifix

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2011
Posts
1,655
Reaction score
593
Ninawasalimu katika jina la Bwana Yesu Kristu.
Mbarikiwe sana.
 
baraka zako tumezipokea...ubarikiwe pia..Karibu mpendwa!
 
Amani iwe nawe pia, karibu sana mpendwa....
 
Amani iwe kwako pia, karibu sana kwenye jamvi letu mwanana.
 
Amani iwe pia nawe, karibu sana jamvini!
 
Amani iwe kwako pia,karibu tushiriki pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…