The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,959
- 13,424
Nawapongeza sana Taifa Stars walionyimwa haki lakini wakashikilia amani. Pamoja na kuchezewa rafu na refa ambaye kawanyima haki wazi wazi, kwa sababu wanatoka kwenye kisiwa cha amani kinachoongozwa na mpenda amani, waliamua kuachia haki yao iende ilimradi kuwepo amani.
Hakika, Tanzania si kisiwa cha amani tu bali mwalimu wa amani. Pia, tumpongeze sana mheshimiwa, mpendwa, mtukufu, mbeba maono, mtenda maajabu na miujiza, mzazi na mama wa taifa ,daktari, profesa Samia Suluhu Hassan kwa kuwezesha yote haya.
Jamani, nawasihini. Hata mtu akikuibia au kukupiga na kutaka kukuvurugia amani, achana naye achukue anachochukua japo ni haki yako. Fanya hivyo, kulinda na kudumisha amani.
AMANI HOYEEE
iMANI YA AMANI HOYEEE
WAPENDA AMANI HOYEEE
HAKI ZIII
WAPNDA HAKI ZIII.