PreGE2025 Amani Gulogwa: Polisi msiingie kwenye mtego wa kuilinda CCM, mtatukwaza

PreGE2025 Amani Gulogwa: Polisi msiingie kwenye mtego wa kuilinda CCM, mtatukwaza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Naibu katibu Mkuu wa CHADEMA, Amani Gologwa amelitaka Jeshi la polisi kuacha kuwapangia cha kuzungumza kwani siasa ina luga zake ambazo ni tamu.

Aidha amelitaka jeshi kufanya majukumu yake ya msingi ikiwemo klinda raia, kufuatilia waliotekwa na kesi nyingine ikiwemo ya Lissu aliyepigwa risasi

Golugwa amesema wanaliheshimu na kutambua mchango wa polisi ila kama wataenda na mwendendo huo basi kuaminiana hakutokuwepo baina yao na polisi hivyo inaweza kupelekea shida hapo baadaye.
 
Back
Top Bottom