Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,777
Akizungumza kupita Global TV Naibu katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Amani Golugwa amesema wamemuandikia barua mkuu wa majeshi nchini kumkumbusha kauli ya ya baba wa taifa kuhusu wajibu wa jeshi la wananchi kulinda katiba na mfumo wa vyama vingi.
"Tumemuandikia barua mkuu wa majeshi tukimwambia, tunaiona hatari katika nchi hii ya vita vya wenyewe kwa wenye iwapo tuhuma hii haitafanyiwa kazi, ya mfumo wa uchaguzi uliongiliwa, tumemuomba mkuu wa majeshi alisaidie taifa hili pawepo na uchunguzi ili uchaguzi usimamishwe kwanza ili taifa lijiridhishe na tuhuma ambayo kawa wa Chama Cha Mapinduzi ameiweka"