Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,777
"Siku tukiwatoa Madarakani CCM kwa jina la Mungu muumba wa majeshi hiki chama kitakufa kwa sababu wamelegealegea, wamezoea utepeutepe, wanabebwabebwa na dola, siku tukiwatoa na jinsi tulivyo na hasira kuijenga taifa hili, jinsi tulivyo na akili ya kutumia rasilimali za taifa hili itatuchukua miaka ishirini kuja kutuwaza tofauti" - Amani Gulugwa naibu katibu mkuu CHADEMA kupitia mahojiano na Global TV leo Septemba 03, 2025