nimesikia kutoka kwa rafiki yangu kua amana bank wametangaza nafasi za kazi ktk gazeti la mwananchi ila sijafanikiwa kuliona,je deadline ni lini?na je sisi wala kitimoto aka wakristo tunaruhusiwa kuaaply?
hajachelewa bana! ngoja na mi ntume saiz deadline c sa kumi?mkuu umechelewa ila nafasi ni
BANK CLERKS(TEN POSITION)
QUALIFICATION.
An upper second degree/advanced diploma in banking/accounting/economics/business administration
five credit at olevel including english and math
submit your application by email not later than 3rd january 2012 at 4pm to email recruitment@amanabank.co.tz
head of human resources
amana bank
p o box 9771
note selected qualifying candidates will be subjected to intensive banking training and those who will pass will be rectruited by Amana bank
dar esalaam
only shortlisted will be contacted to bring cv,copies.
bank clerks ndio bank tellers?hiyo bank inalipa vizuri sana,pelekeni cv tu kama mnataka
dah kweli industry ya bank hailipi kwa subordinate level, mtu kwenye experience za kutosha anapata 900, kama ni kweli ni bora kujiajiri after working some years huo ni unyonyaji sababu wanatengeneza hela sana bank owners bank charges kibao, loan interest za kufa mtu halafu wanalipa their staffs hela mbuzi wakati wanambana kazini hadi jumamosi na mda wote yupo busy na kazi, migomo haiwezi kuisha tz
mkuu umechelewa ila nafasi ni
BANK CLERKS(TEN POSITION)
QUALIFICATION.
An upper second degree/advanced diploma in banking/accounting/economics/business administration
five credit at olevel including english and math
submit your application by email not later than 3rd january 2012 at 4pm to email recruitment@amanabank.co.tz
head of human resources
amana bank
p o box 9771
note selected qualifying candidates will be subjected to intensive banking training and those who will pass will be rectruited by Amana bank
dar esalaam
only shortlisted will be contacted to bring cv,copies.
jamani hapo kwenye red ndio deadline and ni makosa ya uandishi