teh teh teh teh...............unacheza na vitu vyenye ncha kali wewe! hawa polisisiemu hawaaminiki hata kidogo unaweza ukauwawa kwa kuchomwa na vitu vyenye ncha kali na mara nyingi wauwaji wa aina hii hawatafutwi na polisi !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.