Ama kweli nimeamini..

Pure Mathematics

Senior Member
Mar 8, 2012
174
52
Nimeamini watu wamechoka ubabaishaji. Wanataka ukombozi. Ushahidi ni kwamba chit chatters' karibu wote wamehamia Meru East thru jukwaa la siasa..
 
he he he, wanataka bansen bana za bure
mie kule ntaenda kwa greda tu
kwa hiari siendi kabisa
 
nilienda kule munkari ukanipanda........ Ikabidi nisepe ghafla kabla hawajani bunsen burner.......
 
nachungulia tu...sitii neno kule...siasa imekaa kushoto...naogopa kupata kaugonjwa ka moyo!..
 
Hahahah hahahah,
Umenichekesha khaaaaaaaaaaa!

Mie hata kwa Greda kule siendi ng'oooooo!
Hahahaaa Canta ni kweli....
Ila Rejao pole yake maana kule hana chake ana sipoangalia wanamboa hadi adungwe bann....
Hureeeeeeeeeeeeeeeee
Nisharudi Chit-Chat maaana mambo ya Arumeru yalikuwa si mchezo
 
Hahahaaa Canta ni kweli....
Ila Rejao pole yake maana kule hana chake ana sipoangalia wanamboa hadi adungwe bann....
Hureeeeeeeeeeeeeeeee
Nisharudi Chit-Chat maaana mambo ya Arumeru yalikuwa si mchezo
Hahahaha hahahaha,
Shemu Mme wangu nanjua namna ya kudili na lile jukwaaa ndio maana kila anayejipendekeza kwake bila kujua mwenzie anajua stail ya mchezo wanaishia ban!!!

Ww nenda badae km hujamkuta anawachefua watu kule na bila kujua wanakubali kutapika na kuishia selo!!!

Mie kule naingiaga km gest nasoma zangu na kucheka wanavogombana kwa kii bodi narudi zangu chit chat!!
 
Back
Top Bottom