Sumulenga
Member
- Jul 2, 2016
- 60
- 36
wakuu habari,
Hivi serikali ya awamu hii ya tano inampango gani na vijana hawa wanaosubiria ajira? Maana vijana wamekuwa wakihangaika na wakiishi kwa matumaini siku hadi siku.
Wanashindwa kujiingiza katika kutafuta kazi za kudumu au kusaini mikataba kutokana na ukweli kwamba raisi alisisitiza baada ya miez miwili.
Wanatamani kulitumikia taifa lao kutokana na ujuzi walioupata wakiwa vyuoni lakin serikali inaweka kigugumiz kutamka lini watawaajir hawa vijana.
Madhalani, walimu wamefundishwa masuala ya kuandaa andalio LA solo, ama andalio LA kazi. Sasa unaposema wajiajir inamaana kwamba kila baada ya mtaa kuwe na "Tuition centre"?
Ni vyema serikali ikawaweka wazi ili kama mwaka huu hawaajir basi vijana hawa waandae malengo ya mda mrefu. Kuliko kukaa kimya na mda unazidi kisonga mbele Pasi na uhakika.
Serikali toweni tamko LA kueleweka ili vijana wajijue.