Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,465
Heri ya mwaka wadau!
Mi najiuliza sana hivi katika uumbaji Mungu anazingatia vigezo gani? au kuna watu wanapeleka special order ili waumbwe vizuri kuliko wenzao?
Hebu cheki huyu mtoto jamani ana kasoro gani huyu? cheki mguu huo,upaja,kiuno hicho daah na hiyo kifua ndo nakufa kabisaa. namna hii kweli hata ungekua wewe usingeweza kutorosha makontena bandarini ili upate kumtunza mtoto kama huyu?
Ndo mana watu wanahonga mpaka ndege ili wale vitu vizuri vizuri kama hivi looh.
ukioa huyu mtoto una mtaftia mwanamke mwingine awe spesho kwa kuzaa tu hyu una mtunza asizae mapema unakula nae maisha dubai,paris,rio de jeneiro,kingstone,New york teh teh teh teh,kweli Mungu fundi ujue......!!View attachment 314099
wenyewe huwa wanasemaga "mjini njoo na sura na shape nzuri tabia tutarekebishana"Kuhusu tabia, hapo vp?
Kuhusu tabia, hapo vp?
Mambo mengi ya dunia ni tamaa na ubatili.
Heri ya mwaka wadau!
Mi najiuliza sana hivi katika uumbaji Mungu anazingatia vigezo gani? au kuna watu wanapeleka special order ili waumbwe vizuri kuliko wenzao?
Hebu cheki huyu mtoto jamani ana kasoro gani huyu? cheki mguu huo,upaja,kiuno hicho daah na hiyo kifua ndo nakufa kabisaa. namna hii kweli hata ungekua wewe usingeweza kutorosha makontena bandarini ili upate kumtunza mtoto kama huyu?
Ndo mana watu wanahonga mpaka ndege ili wale vitu vizuri vizuri kama hivi looh.
ukioa huyu mtoto una mtaftia mwanamke mwingine awe spesho kwa kuzaa tu hyu una mtunza asizae mapema unakula nae maisha dubai,paris,rio de jeneiro,kingstone,New york teh teh teh teh,kweli Mungu fundi ujue......!!View attachment 314099
wanawake wa mtwara wafupi wafupi hivi ila wako vizuri nao.Mtoto wa Mtwara huyo.
Mtoto wa Mtwara huyo.
wanawake wa mtwara wafupi wafupi hivi ila wako vizuri nao.
Sehemu gani hapo Mtwara.Shangani,, Ligula, Chikongola,Chuno ,Magomeni,Mikindani? Nifunge safari.
halafu hwatumii karoraiti ni natural wanaiva kwa joto,ngozi nyoroooroooo!!Si kweli kuwa ni wafupi, kuna baadhi yao wako hivyo....nilifanya kazi kule pale halmashauri kwa miaka 3 kabla sijahamishiwa Shinnyanga....Wamachinga ni wazuri asikuambie mtu.