Ama kweli mapenzi niue

Kijana hajaona mwingine zaidi ya jimama. Mbele na nyuma hakueleweki, titi kama mapapai ya kisasa katika shamba lenye rutuba.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jmani, usikosoe uumbaji wa Mungu mkuu
 
Anaonekana ni mpika chapati, kutwa nzima kakaa tu hakuna hata mazoezi ambayo yangeweza kumpa lau umbo la kibinadam.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani mnachoshangaa ni nini haswa?
 
Hii thread hakika under 25 waendelee kutoa comments zao...

Hujafa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…