Ama kweli mapenzi niue

Itakua walivyokua wadogo alimuahidi atamuoa, baada ya kupewa utamu akaingia mitini...

Sasa wamekutana ukubwana, ndiyo mwanamke amemngangania atimize ahadi yake...


Cc: mahondaw
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kijana hajaona mwingine zaidi ya jimama. Mbele na nyuma hakueleweki, titi kama mapapai ya kisasa katika shamba lenye rutuba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatareeeee
 
Huenda ni zaidi ya hayo. Kuna jamaa alilazimika kufunga ndoa na mwanamke kinywa kama cha ngiri. Lengo apate scholarship kusoma udaktari uingereza.
Aliporudi akawa anaishi nae kama kaka na dada huku jamaa akiwa na kimada super kitaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi hoi..!!Si bora amsubilie ajifungue kwnza then uyo mtoto aliezaliwa asubilie akue alaf amuoe kama atakua wakike!!coz namwona Bi'mdash ni mjamzito.
Hana ujauzito wowote hapo.
 
dah inabidi mtu atutafutie ni upendo gani alionao huyo jamaa ka kunakitu kakifuata pia tujue jamaniiii
 
Heshima yako mkuu [emoji120][emoji120]
 
wanawake wanene eeeh wana kitu kinabana hatar
Kautafiti kako umekafanyia wapi Demiss
Usinipe kibarua cha kuwatafuta mabonge nyanya 😂😂😂😂😂😂 mana kuna mmoja humu ndani jana alikuwa na birthday yenye ukakasi ila ni kibonge flani hivi...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…