Daisy Llilies
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,017
- 2,163
Hata kama ni urais hapana kwa kweliHuyu lazima kuna kitu si bure huenda mother ana mshiko ile mbaya au mganga wake alimwambia huyo mwanamke atakusaidia kufanikisha sana maisha yako, au mzazi wa huyo mama ana cheo serikalini sasa anatakiwa apandishwe cheo kikubwa
Nitangaze biashara [emoji2955][emoji23][emoji23][emoji23]Weka picha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inaonekana uko vizuri sana ndani na nje.
Huyu jamaa anaroho ngumu sanaHivi huyu mchizi kafuata mapenzi kweli,au analo jambo?.Siamini ninachokiona.View attachment 1081852View attachment 1081853
[emoji23][emoji23]Basi kaushaNitangaze biashara [emoji2955]
Hahahah... Hivi wewe dogo huwa unawazaga nini!K ya huyo mama inaonekana ina mnato sanaaaaa
Huenda ni zaidi ya hayo. Kuna jamaa alilazimika kufunga ndoa na mwanamke kinywa kama cha ngiri. Lengo apate scholarship kusoma udaktari uingereza.Hahahah hapo kuna vitu viwili
1.pesa
2.mbunyee tamu
Kijana hajaona mwingine zaidi ya jimama. Mbele na nyuma hakueleweki, titi kama mapapai ya kisasa katika shamba lenye rutuba.Siamini kabisa, mie na chura yangu bila bila alafu flatscreen anachukua kijana kiulaini
Unaweza jiuliza alianzaje ?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ni sawa na kutongoza jimama(aliyekuzidi umri),kutoka hapo mkuu lazima watu wakemee mapepo.