Pesa za mateso Mimi hapana weeeeeee .....yaani mtu ukitoka nae out washkaji wanakucheka hapana
MmmhBaadae wanazoea
Inawezekana maana huyo jamaa asingejilipua namna hiyoEti eeeh?. Unamaanisha huyo mama anaweza kuwa na mnato kweli?
Siamini kabisa, mie na chura yangu bila bila alafu flatscreen anachukua kijana kiulainiHuamini macho yako?
[emoji23][emoji23][emoji23]Weka pichaSiamini kabisa, mie na chura yangu bila bila alafu flatscreen anachukua kijana kiulaini
Ni sawa na kutongoza jimama(aliyekuzidi umri),kutoka hapo mkuu lazima watu wakemee mapepo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]