Ama kweli kisa hiki cha Nairobi Kenya, cha kijana aliyeachwa hai na gaidi kina mafunzo mengi, be nice to people you never know..!!

What are the chances of an innocent victim lifting their head in a terror attack?
What are the chances of an informer lifting their head in a terror attack?
 
Nashukuru mkuu nimekupata.....

Navyo fahamu mm jambazi/gaidi akisha fahamu umemtambua hakuachi salama ili kuondoa ushahidi...

Hatuwezi kumhukumu huyu dogo lakini angetakiwa achunguzwe na kuhojiwa....
Huyu sidhani kama anahusika . Mwenye uelewa wa damage ya stori yake asingeisimulia ovyo huyo hajui chochote. Lakini pia kuna msemo una sema "kila shetani na mbuyu wake au zimwi likujualo halikuli kukumaliza"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingekuwa hapa naona mpaka mama yake angekuwa chini ya ulinzi
Kweli ukachero unatofautiana
Hata nchi nyingi nilizopita ingekuwa hadithi nyingine kabisa

Sent from my SM using Tapatalk
 
ts gd to be nice to people
But its much better to be nice to God coz you never know what will happen when the pipo u have been always nice to them became terrorists

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye upelelezi mkuu huyu dogo anatakiwa akahojiwe.... Hata shetani kuna mda anakuwa malaika
Upelelezi wa kizamani ndio, lakini wa kisasa watu watakaribu kupakuwa cctv watawapata hao jamaa siku walizo kuja hapo, na kama walitumia magari tofauti wakati walipokuja kama wateja na kufuatilia wamiliki wa hizo gari na kila kitu.
 
Ga
Kwaiyo jamaa alimpa gaidi na kahawa kabisa? Au mimi ndo sijaelewa Kimombo?

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
Gaidi alikuwa akienda hotelini hapo kabla ya siku ya tukio na kijana akawa anamhudumia kahawa.
 
Japo anafaa kuhojiwa, lakini sitegemei awe alihusika maana alivyo mjinga anahadithia hicho kisa ilhali kinaweza kumtia kwenye matatizo,
kuna mengine ya kukausha hadi usome upepo kwanza, sasa hivi usalama wa taifa wana hasira kama simba, wanazunguka kote wakitafuta wa kumtia meno.
Hawazunguki na vifaru kama enzi za westgate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu usikariri.

Binafsi I wouldn't base so much on upande wa upendo but kwamba siku yangu haijafika and so my Maker wouldn't let me die.

You know why? None of those people deserved to die. Not in the name of a dumb cause by disillusioned people. Why were they killed? To prove what and to whom?

The terrorist just decided to let him go. No love lost let us not get carried away here, its terrorists we are dealing with not Good Samaritans.
Thoughtful... I'll buy you dinner kesho.
 
Kama uko serious.. Kisa kinaelezea hivI kwa tafsiri isiyo rasmi;

Kijana Reuben alikuwa ni muhudumu wa hoteli ambayo magaidi hao walikuwa wakifika mara kwa mara kujipatia kahawa na mambo mengine mpaka akazoeana nao (hakujua ni magaidi).

Sasa, pamoja na kwamba hao wateja (magaidi) kuwa wakorofi na wababe walipokuwa wakihitaji huduma, mshikaji alikuwa akiwapa huduma kwa upole na unyenyekevu ile kiroho safi.

Siku ya tukio, Reuben akiwa amelala chini na watu wengine, aliinua kichwa chake na kugonganisha macho na gaidi mmoja akamfahamu.. Gaidi akakumbuka ukarimu wa Reuben, akawaua watu wengine wote na kumuacha hai Reuben. Wema wake ulimuokoa na kifo.

Hapo vipi mkuu? Najua nimesaidia wengi.
nahisi kaelewa Ila kama bado tumuite ras simba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Japo anafaa kuhojiwa, lakini sitegemei awe alihusika maana alivyo mjinga anahadithia hicho kisa ilhali kinaweza kumtia kwenye matatizo,
kuna mengine ya kukausha hadi usome upepo kwanza, sasa hivi usalama wa taifa wana hasira kama simba, wanazunguka kote wakitafuta wa kumtia meno.
National inteligencies za Africa kumbe nazo bure.
Wanatafuta watu wa kuwatia meno badala ya kufanya in-depth investigations

Sent using Jamii Forums mobile app
 
undefinedha ha ha,kibongo bongo lazima uhojiwe,ila hawa ni wakenya,wana upeo wa juu,wanajua hawa watu lazima walikuja kufanya casing the joint kabla ya kuvamia hapo,mhudumu hangeweza kujua kuwa hao ni watu gani
Fact! Wale watu wameshakuja pale si ajabu wamekaa hapi hotel mara nyingi tu kwa lengo la kufanya study na kuichora ramani ya jengo. Infact it is possible 100% kijana hakujua chochote. Yeye alikuwa akiwahudumia kama wateja na si vinginevyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
National inteligencies za Africa kumbe nazo bure.
Wanatafuta watu wa kuwatia meno badala ya kufanya in-depth investigations

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kawaida shambulizi likitendeka kwenye nchi yoyote, maisha ya kila raia hubadilishwa na kunyanyuliwa juu chini, waulize Wamarekani hali ilivyokua siku chache baada ya 911
Ni kwamba usalama wa taifa huvurugwa na rais, huzomewa sana yaani ilikuaje hadi wakazembea, sasa husababisha wafanye makubwa, kusaka mlango kwa mlango.
 
Kwahali inavyokwenda kwenye mahotel makubwa huko kenya ukionekana ni msomali na umefuga sharubu kila mara unaenda kunywa kahawa na kuondoka lazima wahudumu watoe taarifa polisi… just sayin..

Sent using Jamii Forums mobile app
Ww umefika kenya? Umewahi kwnda eneo wanaita E3 (Islii)? Kumejaa wasomali watupu ambao ni raia wa Kenya. Kusema kweli kwa kenya suala la ugaidi ni gumu sana maana hata kwenye jeshi la kenya kuna wanajeshi wenye asili ya kisomali!

Ndugu, suala la ugaidi Kenya kutoka somalia litawasumbua sana, maana huwezi kujua yupi gaidi na yupi ni msomali mzawa wa kenya, Isitoshe yapo magaidi huenda yanapata msaada kutoka kwa wasomali wazawa wa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww umefika kenya? Umewahi kwnda eneo wanaita E3 (Islii)? Kumejaa wasomali watupu ambao ni raia wa Kenya. Kusema kweli kwa kenya suala la ugaidi ni gumu sana maana hata kwenye jeshi la kenya kuna wanajeshi wenye asili ya kisomali!

Ndugu, suala la ugaidi Kenya kutoka somalia litawasumbua sana, maana huwezi kujua yupi gaidi na yupi ni msomali mzawa wa kenya, Isitoshe yapo magaidi huenda yanapata msaada kutoka kwa wasomali wazawa wa Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app

Uko sahihi, tumewahi kuwa na mkuu wa majeshi mwenye asili ya Kisomali. Ni vigumu kuwabagua.
 
Uko sahihi, tumewahi kuwa na mkuu wa majeshi mwenye asili ya Kisomali. Ni vigumu kuwabagua.
Sure mkuu, Mimi ni Mtanzania ila nishafika nairobi hadi mitaa hiyo niliyotaja, pia nishafanya interactions nyingi na majeshi ya kenya kwenye kazi zangu kiasi kwamba najua kabisa kuwa ndani ya jeshi la Kenya kuna wanajeshi wazawa wa kenya ila wana asili ya kisomali kwa muonekano. Wasio jua mambo haya wanaweza fananisha changamoto ya kiusalama ya kenya na Tz. Kusema kweli situation zipo tofauti kabisa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom