Ama kweli huwezi kumlipa mzazi...

YNNAH

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,702
969
Kuna Toto lilikosa adabu,baada ya kupata utajiri lilimfuata baba yake na kumwambia,"Baba niambie vyote ulivyotumia kwa ajili yangu ili nikulipe na usinifuate tena." baba akajibu, "wala sihitaji vitu vyote nilivyotumia kwa ajili yako,nipe tu mkeo nimnyonye michuchu kama ulivyomnyonya mke wangu." Toto likakasirika na kuondoka bila kuaga.
 
Huyo baba alikuwa na busara za mfalme suleman za kumfundisha mwanae kwamba ni vigumu kumlipa mzazi mema yote alotenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom