Ujio mwema ASALAAM ALEYKUM.... kuna mtu atamtenga Mlezi wake au Profesa wake (fadhila zake nyingi)....Swahiba unanitenga
Naomba usinipe vyeo tafadhali, sisi ni maswahibaUjio mwema ASALAAM ALEYKUM.... kuna mtu atamtenga Mlezi wake au Profesa wake (fadhila zake nyingi)....
Swahiba hata fedha hupewa vyeo!! $ na Euro utalinganisha na Tsh au kwacha !!Naomba usinipe vyeo tafadhali, sisi ni maswahiba
Acha hizoSwahiba hata fedha hupewa vyeo!! $ na Euro utalinganisha na Tsh au kwacha !!
Wewe ni mlezi wetu na haki yako upewe kama profesa...wastahiki.
Bado wakata nini Swahiba huoni hata Muumba katumbia macho yetu mbele na kuongoza kutembelea mbele "as a leader!!Acha hizo
Haya Swahiba, hapa sina kauli tenaBado wakata nini Swahiba huoni hata Muumba katumbia macho yetu mbele na kuongoza kutembelea mbele "as a leader!!
Wewe uliweza kumsaidiaje huyo ndege ili aweze kuondoka na watoto wake salama, au uliweza kumpiga picha na kuja kuitundika apa?????sasa apo wewe na uyo ndege nani mwenye akili?????