Brother don't take it too seriously. save your breath hiyo picha nimeikopi tu somewhere.Wewe uliweza kumsaidiaje huyo ndege ili aweze kuondoka na watoto wake salama, au uliweza kumpiga picha na kuja kuitundika apa?????sasa apo wewe na uyo ndege nani mwenye akili?????
msosi wao bila kutoka jashoKila jambo kwa kader na kipimo maalum.... Hiyo imeshakuwa chakula cha panya buku!!
ndio hivyo mkuu impelekea abaki na mtoto mmojadahhhhhhhhhh
Hiyo mipangilio ya Mwenyeezi-Mungu...Sisi BinaADAMU na nguvu zetu zote kesho tunakuwa mloo wa funza na wadudu!!..msosi wao bila kutoka jasho
kweli kabisa ili maisha yawepo na yaendelee mpangilio huo lazima ufanye kazi,Hiyo mipangilio ya Mwenyeezi-Mungu...Sisi BinaADAMU na nguvu zetu zote kesho tunakuwa mloo wa funza na wadudu!!..
Alafu tazama mzunguko huu wa uhai.... wanyama,samaki,ndege,wadudu,mimeya,nk... kila mmoja humfaa mwengine!!
Wewe uliweza kumsaidiaje huyo ndege ili aweze kuondoka na watoto wake salama, au uliweza kumpiga picha na kuja kuitundika apa?????sasa apo wewe na uyo ndege nani mwenye akili?????
Kila jambo kwa kader na kipimo maalum.... Hiyo imeshakuwa chakula cha panya buku!!
ndio hivyo mkuu impelekea abaki na mtoto mmoja