Am Walking Away......Kasie.

Huyo mtu sijui anawajibika maeneo gani. Itakuwa ana funguo za sehemu walipohifadhia grease

Hahahahaaa ukikutana nae mfikishie salamu zangu aiseeh, nimemiss sauti yake.... tabasamu lake.... hekima zake n.k. n.k.

Mwambie Kasie anakusabahi.
 
Hahahahaaa ukikutana nae mfikishie salamu zangu aiseeh, nimemiss sauti yake.... tabasamu lake.... hekima zake n.k. n.k.

Mwambie Kasie anakusabahi.
Wanaume wagumu sana kupeleka salamu maana maswali yakianza itakuwa ngumu kujibu...ntamwambia akasome post ya Kasie iko moto moto....haaaahaaaa
 
Wanaume wagumu sana kupeleka salamu maana maswali yakianza itakuwa ngumu kujibu...ntamwambia akasome post ya Kasie iko moto moto....haaaahaaaa

Ooh nashukuru sana kwa kukubali kunifikishia ujumbe, natumai atakuja hapa na akiniona tuu basi lunch date itapangwa fastaa.... hehehehheheh.

You are so kind.... blessing to you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…