Am Walking Away......Kasie.

Whaaat... kwa papa ipi uliyonayo may be u need more fire to satisfy yo pussy?

You Know NOT KASIE yet.....

Waachie wakubwa zako wafanye yao.
 
Ni kweli mimi nimekula chumvi nyingi.

Hivi uzee ni kitu cha kutisha eeh maana unaweza kukutana na mtu anakushangaa kama vile yeye ni jiwe hataufikia hehehehehhe.

Anyways I enjoy my current status..... being old.
 
Ni utoto tu soon wata realize hata bibi alikuwa binti.
 
Hivi uzee ni kitu cha kutisha eeh maana unaweza kukutana na mtu anakushangaa kama vile yeye ni jiwe hataufikia hehehehehhe.

Anyways I enjoy my current status..... being old.
kwani hapo ujanani alifika vipi ..hajawahi kukaa hata kujiuliza kuwa hata bibi yake alikuwa binti ..ujana unamlevya ..siku zenyewe zinavyo kimbia now days kushinda hata mapigo ya moyo ajiandae tu kuupokea uzee...
 
Uzuri wa kuwa mtu mzima unapata uelewa tuu kuwa watu tumeumbwa tofauti.... jambo la kawaida kama sehemu ya maisha mwengine anaona ajabu au mshangao.... basi nawe unashangaa kisha maisha yanaendelea.

Anyways basi tumuache ajifunze taratibu.
 
The album Born to do it matata sana nakumbuka mombasa them moments
 
I thought Kasie was walking away, Kumbe Craig David is just walking away, lol. Lemme try to bring back memories.
 
Hivi kasie wewe ni mama mtu mzima kama Avatar yako au ni kijanamwenyewe Avatar ya kizee ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…