Hi Guys My Name is Cynthia. Iam a young beautiful woman and alot of men keep chasing me. But i have noticed a very worrying thing, i cant keep a man for more than 4 months. Every man who hooks up with me drops me after some time. Iam financially stable so i cant say iam a burden to them. Whenever i try to ask them what is the problem, none has told me the truth. They simply say, You are a very beautiful and sexy lady but you are not my Type. Iam now losing my self esteem. Is this Beauty of mine a curse?
yours Cynthia
slowly slowy kupitia hapa JF nimejifunza kuwa naweza ishi na mwanaume wa aina yyte ile kabila yyte ile mkali na mpole ,you guys yu gota same preliquisites in love yaani ukaweka consistence ya mambo fulani unawezaa ishi na mwanaume kwa miaka mingi hata kama humpendi na ukapata utakacho ukasepa nakuja gundua katika maswala machache sana wanaume wanawaza mbali ila katika swala la mapenzi aisee yaani unamteka kwa kitu kidigo sana.weka mbali natemboDo you think wanaume wanafuata hiyo sura yako tuu..??? Maana kuna wanawake wengine huwa wandhani SURA inapika, inafua, impenda mwanaume,...etc ...etc hiyo ni sura tu kinachomfanya mwanume asiondoke kwako na the way unavyomtriti na ze wei unavyojiweka kwake..
Ni kujua kula na kipofu tuu... SIYO WAKATI MNAKULA MARA UMEMGUSA MKONO MARA UMECHEKA, MARA UMEMSEMA... MWENZIO ATAKACHOWAZA NI KUWA UNAMKWEPESHEA 'NYAMA' TUUslowly slowy kupitia hapa JF nimejifunza kuwa naweza ishi na mwanaume wa aina yyte ile kabila yyte ile mkali na mpole ,you guys yu gota same preliquisites in love yaani ukaweka consistence ya mambo fulani unawezaa ishi na mwanaume kwa miaka mingi hata kama humpendi na ukapata utakacho ukasepa nakuja gundua katika maswala machache sana wanaume wanawaza mbali ila katika swala la mapenzi aisee yaani unamteka kwa kitu kidigo sana.weka mbali natembo
Try me you will never be disapointed for the rest part of your life.
Is this Beauty of mine a curse?