Am tired aisee!

Umalaya ni kitu kibaya sana. Malaya hata umpe nini hatoridhika kamwe. Mnajiuza indirect alafu ukipita uwanja wa fisi au sinza mori unawasikitikia wale wanaosimama usiku, fainali uzeeni ngoja
 
The road to truth is long, and lined the entire way with annoying bastards.

All the best dada.
 
Njoo kwangu,nakupa na kadi ndogo ya EXIM,utakuwa na uwezo wa kudraw bila kunipigia ilimradi usivuke kiasi fulani
 
Chukua hii itakuweka utakapo, tafuta Jizee la ukweli lipo wizarani huko au vitengo vizito hutojuta na utajutia kupoteza muda kwa masharo watoto wa mama.
 
Ok njoo PM haraka .
 

Hahaa poleee aisee, brain yako tu ingetosha kukupandisha pipa! Ila Mugabe alisema usipoangaisha brain basi papuchi ndio itakayokuwa in trouble!!
 

Duh kwa hii serekali ya magufuli haya subir wenye nguvu waje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…