comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,465
- 11,545
Nimeweka kreti la safari lager chini ya ulinzi mkali 😥😥😥😥😥
Kingereza cha beer 🍺 🍻
Kingereza cha beer 🍺 🍻
🤣🤣🍕kula gambe kula game mpaka kitanda kikufate apo ulipo.
Weae si kobasizzzzz lazima ufurahoNimefurahi sana
Wewe nitakurudisha chome kwa mguuStage uliyofikia utaolewa sasa
Cccm kazi yenu ni kuomba raia mabaya tu qmmakNimefurahi sana
🤔Lenyewe umeliwekea ulinzi mkali ila hilohilo ndio litakaloulegeza huo ulinzi mkali mpaka kuwa ulinzi hafiffu ama legelege!.. 😅
Kama unakunywa bia njoo pm kupe locationLenyewe umeliwekea ulinzi mkali ila hilohilo ndio litakaloulegeza huo ulinzi mkali mpaka kuwa ulinzi hafiffu ama legelege!.. 😅
Haha! jf sikuhizi watu wamekuwa wakidai location tu!.. mkuu wacha kutumia akili mnemba! kama umeamua kula gambe we litafune tu ila kumbuka usipoteze kumbukumbu hayo mambo yanahitaji kiasi na nidhamu yakutosha!Kama unakunywa bia njoo pm kupe location
👉🚫Haha! jf sikuhizi watu wamekuwa wakidai location tu!.. mkuu wacha kutumia akili mnemba! kama umeamua kula gambe we litafune tu ila kumbuka usipoteze kumbukumbu hayo mambo yanahitaji kiasi na nidhamu yakutosha!
Mshahara wa mwezi Janu utakuwa umetema pande hizo.Noma kweli yaani.
Am not employed, i dont have employment but i got moneyMshahara wa mwezi Janu utakuwa umetema pande hizo.
Nikutakie ulevi mwema na manka mwenye vvu ajisogeze karibu yako.Am not employed, i dont have employment but i got money
Jamaa atakuwa ameshauwithdraw ndo maana anapombeka.Mshahara wa mwezi Janu utakuwa umetema pande hizo.