wherever ur are,najua nilikudissapoint baada ya kukutolea nje kukukopesha that money,4sure siwezi kumpa mwanaume pesa especialy sm1 i want 2have future with,am real sorry n am missing u come back soon,hope u wil pass through it
Mambo ya kizamani hayo.
Kama muda wa uhusiano ni wa kutosha kwa nini usimsaidie incase amekwama?
Tatizo wanawake mnapenda msaidiwe ninyi tu! Labda km wewe ni Mpalestina
wa Machame Ala!
hapana mimi c mpalestina,ila nikimpa tu pesa heshima yangu kwake itatoweka nitamdharau sitaki hlo litokee thats y nikamnyima
Kwani anaeomba mkopo huwa
anajivunjia heshima..!! Jee huoni kama ungemkopesha basi angalikuheshimu
sana na asinge kua tayari kukuacha kwani wewe ni msaada kwake..!! Au
wewe unapenda uheshimu tu lakini hutaki kuheshimiwa..??
wherever ur are,najua nilikudissapoint baada ya kukutolea nje kukukopesha that money,4sure siwezi kumpa mwanaume pesa especialy sm1 i want 2have future with,am real sorry n am missing u come back soon,hope u wil pass through it
dont get me wrong,wajua vijana wa kileo ukimzoesha kumpa fedha anabweteka na akishajua unamake zaid yake atakuja kukuachia jukumu la kulea family mama peke yako,so nataka from the beggng afahamu yeye ni baba head of family na provider
sinahakika kama ni memba humu jukwaani
Mambo ya kizamani hayo. Kama muda wa uhusiano ni wa kutosha kwa nini usimsaidie incase amekwama? Tatizo wanawake mnapenda msaidiwe ninyi tu! Labda km wewe ni Mpalestina wa Machame Ala!
acha stori, cha msingi
hapa ni kwamba wewe ni bahili na una roho ya choyo, period. hayo mengine
yooote blah blah tu, acha wenzako wakusaidie. hivi, umewahi hata kumpa
japo zawadi ndogo tu? jitafakari, nani kasema wewe tu ndio umeumbwa ili
usaidiwe, wakisaidiwa wengine wadharauliwe?
huwa wakati mwingine
naona hii beijing confe. walikosea sana hasa kutokuzungumzia swala la
mshiko kwenye ugawaji na matumizi yake pia..
my money is mine n no man wil ever touch ma money
Kama kweli huo ndo msimamo wako Ubarikwe sana na atakayekuoa pia (if not yet married)my money is mine n no man wil ever touch ma money