Asante kunikubali na kuelewa hatua niliyokuwa nayo kiukweli inawezekana saa hizi ningekuwa nyuma ya kizimba kwa kumkanumba mtu. peace and love :smiling:
Toria angalia hayo maneno na wewe yatakufunga, kumbuka kuwa sie wote ni wana wa adam tuna damu na nyama na sio malaika, hakuna anayependa kufanya makosa kama wapo basi mie sipendi huwa inatokea, ukisma repitition is forbidden je ile samehe saba mara sabini inakuweje? ila pia haimaanishi ukose ili upate nafasi sabini za kusamehewa la! ni kuwa makini tuu. Asante kwa kunisamehe.