Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
Mhghh huyo mdada kila siku anaumizwa tuu
hata mapenzi yataisha
Nice dedication to her
hope she will forgive you ila uache kumtesa
jamani, hivi akupendae atakuumiza........ Mmmh kweli mapenzi mtihani, mwingine jibu a,mwingine b. Lakini wote wamepata lol
I will Mr Rocky, I will never dare to hurt her not even for a single day. I will love and give her all my love more than what she deserve.
Young_ Master jua kwamba kuna kusamehe na kusahau
Ila isiwe mara kwa mara maana ataona kama unafanya kusudi
na itafikia atasamehe ila hatasahau
Na hawa wenzetu wanajua sana kuyaweka haya mioyoni mwao
Kuna mmoja alimtukana wife wake "punda" ikapita miaka kibao walisameheana yakaisha
Siku wakiwa safarini na mkewe wakakutana na kundi la punda wanavuka barabara. Mke alimwambia mumewe nenda taratibu usije gonga ndugu zangu hao wanavuka barabara
Miaka zaidi ya kumi imepita toka jamaa amtukane mke wake
So be careful sana mkuu
Sio kwamba tunapenda kuumiza wale tunaowapenda Lady G but huwa inatokea bila sisi kutarajia au kukusudia na ndio maana kila siku huwa tunawaomba msamaha pale tunapowakosea wale tunaowapenda kwa sababu hakuna binadamu aliye mkamilifu. Thats why people say there is no love without pain
sweetheart nani kakuudhi?? tema nimchape lol! Young_Master wangu nini tena mbaya?? come this way, cant u feel my luv for u?! mwahhhhh!
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii so its me! mmhhh mbona i dont remember kunikosea?? i can feel we are okay, coz upendo hauoni makosa, but just because umeligundua kosa lako na umeapologize, then APOLOGY ACCEPTED!I will tell you my dear cacico. You know i love you so much and i cant hide anything from you.
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii so its me! mmhhh mbona i dont remember kunikosea?? i can feel we are okay, coz upendo hauoni makosa, but just because umeligundua kosa lako na umeapologize, then APOLOGY ACCEPTED!
Young_Master, you are welcome! always ma' luv, ngoja niwawahi twins hope hutachelewa, i have a surprize for ya!Thank you my love, thats why i love you because you always listen to me.
Young_Master, you are welcome! always ma' luv, ngoja niwawahi twins hope hutachelewa, i have a surprize for ya!