Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Bado ni asubuhi na mchana unakaribia....
Wapendwa, najua wengine inawakera ila huku ndani ya mwili kunafukafuka kuna bubujika Mahaba hadi narukaruka tuu.
Msimu umenoga jamani, nasikia raha kama niko kwenye jaccuzi nachemka lakini siivi eeheheheheee. Likizo ndo imeanza, sikukuu ndo zinakuja, safari kedekede, tiketi ziko tayari, tumbo liko tayari, miguu ishavaa raba tayari kwa kila mwendo wa haraka haraka, polepole, mchakamchaka, kutembea, kukimbia yote mwendo.
Yaani naimba huku nacheza huku Ddadii amejaa kila mahali basi raha ndani ya roho...
To be honest I feel grateful to have my Dadii by my side. Na leo tena Ddadiii as usual, your Kaise always asks for some more. Ya jana ilikuwa tamuuuuu, na leo tenaa....
Dadii am so happy to have you...
Mmmuuaaah!!! Because am happy and happyness is the truth.
Come along and shake your legs if you know your happiness is you...
K' Matata.