CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Pole meza mseto kama malaria sio kali.hali zenu wanachitchat, mwenzenu naumwa leo. ni mwezi june tu nimemeza dose ya malaria lakin saiv imerudi. . . naomba kwa wanaofahamu tiba mbadala ya malaria wanijuze make sipendi dawa za hospital.. . .
tiba mbadala?pole sweetheart! pole sana!
hali zenu wanachitchat, mwenzenu naumwa leo. ni mwezi june tu nimemeza dose ya malaria lakin saiv imerudi. . . naomba kwa wanaofahamu tiba mbadala ya malaria wanijuze make sipendi dawa za hospital.. . .
Eversince i learn't that you are ill my Semegi i 've been prayin' for your speedy recovery!
I truly am lookin' your improvement bt my Shem yo just be care about dawa mbadala what you need ? Before swallow make shure abt side effect!
Coz various medics hizi kalikali ! Hu'attack hadi ki'zaygote!
Mi naogopa kukuelekeza nikajapata lawama!
Are sure huna kiji'zygote ?
au kamisi ''muhogo" huyuu..?
Chemsha majani ya muarubaini au aloevera.
Mwagia ndani ya beseni lenye majimoto mchemsho wako.
Tafuta shuka jeusi au la rangi(sio jeupe) jifunike nalo huku ukiwa umeinamia beseni hilo,kumbuka kuacha kinywa wazi ili mvuke upitie kinywani.
Na baada ya robo saa funua shuka kisha subiri dk 20 au 30 nenda kapime tena,
ukikutwa na maralia naacha udaktari.