Am Obsessed With Your Love

Sasa wewe dawa yako ni kukutafutia shemeji mrefu,mwenye fweza,rangi nyeupe ingia toka(Yani si mweupe wala mweusi) nikuzibe mdomo huoπŸ€ͺπŸ€ͺ
Unichagulie la kuumana utamuoa wewe sitaki mke mrefu Kama jini kabula! Mwanamke mwenye hela anadharau sana! Awe nazo za wastani tu nitafutie kipotabo akicheka anamwanya urefu size ya Kati jicho kama lenzi inataka kuanguka!.. asiwe mweusi Sanaa au mweupe Sana just awe kawaida ila ngozi soft. πŸ˜‰
 
Haya chukua udongo wa mfinyanzi hapo chap kwa haraka umuumbe wako
 


Ungekuwa unampenda Mola Maulana hivi, japo robo ya hii, I guess malaika wangekuwa wanashort list jina lako deile kule peponi ili uhamishiwe Paradise hata kwa unyakuo mahususi. Anyways, just keep smiling, but remember your Creator

NB: Haka ka memo hakahusiani na wivu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…