Am in love with you 😘 😍 πŸ₯°

You’re welcome πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½

Karibuuu....

Kifikirishi tuu, English saa ingine nayo ina make ups nyingi looh.

Kama unataka kuendeleza maongezi laah sio kuondeleza ila kujibu majibizano aka conversation, mtu akisema you are welcomed unajibu thanks again maana kabla ya hapo inatanguliwa na thanks kisha you are welcomed then thanks again au you are welcomed too just like I love you, I love you too ....!!??

aaahahhahahahahaahaaaaaaa, akili za Kasie Matata sijui zinawaza nini...
 
Reactions: BAK
Pilau la Jumapili labda na kisamvu cha kinyamwezi pembeni kilichoungwa na karanga
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Pilau la Jumapili labda na kisamvu cha kinyamwezi pembeni kilichoungwa na karanga
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

AaahahahhahahaaaaaAaahahahhahahaaaaa hakyanani ntakutukana baadae, tusi langu pendwa.

Ila sijala kisamvu kitamboo....
 
Reactions: BAK
Tusi lako pendwa ndilo hilo hilo kila siku labda uniambie umepata matusi mapya kwa wahuni wa Kinondoni/Mwananyamala 😜😜😜

Aahahahahahahaaa

Ngoja nikutukane tusi la Babu ODM Asprin, malabuku zako mara kumi na mbili.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚umepata matusi mapya?

Ndiyoo, nikutumie? Aahahahahahahaaa unanichokoza eehhh.

Nilipotea leo nilikuwa navumbua menu, Chief Matata.

So delicious.
 
Reactions: BAK
Mchoyo sana weye! Hata karibu hakuna umeshashiba ndiyo unaniambia😜😜😜nirushie matusi mapya ili niwababue nayo maccm πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Una haraka hehehehehee
Havijaiva bado, subirii.

Leo ntaweka picha hapa...
 
Reactions: BAK
Ewaaaaaa.... K Matata jikoni.

Aahahahhahaaa unapenda picha eeehhh....

Usijali, leo tutakula wote na ukjwa mvivu wa kula ntakulisha....

Kasinde.
 
Reactions: BAK
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹sifanyagi ajizi kwenye kula😎😎😎napenda msosi lakini misosi ya kwetu tu si haya majunk food sijui fries, pizza, etc. Hivyo vimenipitia kushoto.

Aahahahahaaa muone kwanza, wakati hivyo vyakula ndo vimekukuza.

Basi kuwa mpole, siku nikipika wali wa maua na nyama ya kusaga ntakurushia picha, leo sirushi tena picha maana nimepika sugar foods aahahahaha.

Matata K.
 
Reactions: BAK
Ningekuzwa na haya majunk food ningeyapenda K. Huwa nawashangaa watu wanaotokwa udenda kwa vyakula hivyo. Siyo kwamba sili lakini ni kwa nadra sana mara nyingi ni ofisini.

Nakuelewa BAK,

Kuna samaki wanaitwa perege unawafahamu? (Anawezaungwa na mafuta au nazi)

Mboga ya majani inaitwa matembele unaifahamu? (Inatiwa ndimu)

Papa mkavu vipande vidogo vidogo ( huyu anaungwa na nazi)

Bamia na mlenda ( zinaungwa na karanga au nazi siku nyingine chukuchuku)

Nsansa na nswalu ( kinaungwa na karanga)

Maharage ya njano (yanaungwa na nazi au karanga au mafuta)

Ugali ndo chakula kikuu

Hivyo ndo vyakula vilivyonikuza. Oooh nilitaka kusahau utumbo wa ng'ombe unachanganywa na mchicha na kuungwa na nazi.

Hivi vingine English tuu, na huwa Napenda kujaribu mapishi mbalimbali najifunza, napenda kujifunza vitu vipya.

Matata K.
 
Reactions: BAK
Ahaaaa! Now you’re talking hivyo vyote ndivyo vyakula vilivyonikuza. Hakuna hata kimoja hapo ambacho sijawahi kula tena mara nyingi.

Angalia sasa nimesema matembele, nsansa na nswelu akili yako inaanza kuzunguka na kutaka kumake conclusion πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ilibidi uwe mtafiti wewe! Mlenda pia nakula lakini huo si mpenzi kihivyo ukilinganisha na hizo mboga nyingine za majani.

Aahahahahaaa yaani niko mtafiti mnoo, wacha niifanye kuwa sehemu ya kazi zangu hata kama ni part time, maana nilikuwa nafanya for fun.
 
Reactions: BAK
Haya kila la heri angalia usiunguze jikoni
😎😎😎

Aahahahahaaa yaani niko mtafiti mnoo, wacha niifanye kuwa sehemu ya kazi zangu hata kama ni part time, maana nilikuwa nafanya for fun.
 
Haya kila la heri angalia usiunguze jikoni
😎😎😎

Niko makini hasa nikiwa na multitask.

Kimeiva naandaa meza, nikimaliza ntakukaribisha.
 
Reactions: BAK
πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½

Ila mie nimejaliwa appetite ya kutosha πŸ˜‚πŸ˜‚usije kubaki mdomo wazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Niko makini hasa nikiwa na multitask.

Kimeiva naandaa meza, nikimaliza ntakukaribisha.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…