Am I wrong if I process divorce?

Nadhani akiwa yeye kama baada ya Emotions zilizomsukuma kuandika hili kumtoka ataona alivyokosea. Humu hakuna aliyemshauri kwa Kusimama on neutral base. Kwasababu wengi humu wamejaa negativity and will laugh on your miseries while pretending that wako upande wako.
Angeleta mada hii kipindi japo yupo sobber au kapatana na mtu wake angeweza kuandika vyema
Mbona ameshauriwa vizuri sana.
Kuna mtu anaweza bully a person sababu ya changamoto za ndoa?
Anyways, ila mi nimeona amepata very constructive opinions.
Watu waliozungumza nae wala sio watoto watoto.
Most of members waliocomment huu uzi ni watu wazima, wazoefu, wenye utu na kutizama issue yake wala not from attacking angle.
Bullying inatoka wapi?
 
Pole Sana,
Ndoa zina shida na raha,,upendo wa kweli hudhihirika wakati wa shida na mateso.

Je,tukiwapenda watupendao twafanya ziada gani?
Wapendeni wote,waombeeni wanaowaudhi.

Zidi kuomba,usichoke..
Ipo siku atabadilika,,,kuwa mwaminifu na msihi Mungu ambadilishe.

Nb: Sikushauri uvunje ndoa yako.
Ushauri wako ni mzuri,ila umeotoa wakati ambao si sahihi,maana yake unakuwa ushauri mbaya kwa hali ilipo fikia. Hapaswi kuufanyia kazi sasa.

Ushauri wako anaweza kuufanyia akiwa ameshajitoa katika ndoa,yaani kuwaomnea kheri wanawake wenzake kwa mdau au awaombee wanawake wenzake waepushwe na huyo mdau.

Kuna muda kuendelea kubaki katika ndoa ni jambo baya zaidi kuliko kubaki kwenye ndoa husika. Ndoa ya huyu bibie ni mfano mahsusi kabisa,endapo anayo tuambia ni ya kweli.
 
Haha..! Utajutia kufungua huu uzi.

Ila pole sana, piga moyo konde na uusikilize moyo wako unataka nini na ufanye. Kila la kheri
 
Sijasoma yote lkn wewe mwenzetu umelogwa acha upumbavu. Unasubiri divorce ya nini? Ili iweje yaani? Huna maamuzi binafsi hadi jamii ikuamulie?

Unashindwa nini kumuacha uondoke then ushughulike na divorce baadae? Hata tukikushauri hapa hutatekeleza ushauri wetu utaendelea kugandana hapo.

We baki na msela wako, hilo ndo chaguo lako ndoa ni uvumilivu, vumilia dada..thawabu utaipata mbinguni. Ukiachika tutakucheka utakosa heshima kwenye jamii kifupi utadharaulika. Shikilia hapo hapo udundwe hadi akili ikukae sawa.
God fearing my foot.
He wewe unataka kumuangamiza mwenzako?:D:D:D
 
My dear nakuelewa sana. Myself ni muhanga wa matukio kama hayo. Ila wangu hapigi ila he's never at home, hana time na mimi kabisa kila siku anarudi saa 6,7,8,9 usiku. No sex for 8 years now sio kwamba sitaki yeye ndio hataki. Mwanzoni i used to cry a lot lakini nimekuwa sugu. I dont ask tena simuulizi hata arudi asubuhi. I stoped buying chochote kwa nyumba. He buys everthing including hela ya petrol na ya kula kazini, Ila anafanya vyote but hakuna upendo kabisa. Hana cha Jumapili wala sikukuu akitoka kurudi ni very late hours. Nilidhani nikikaa kimya atabadilika ajiulize why i dont ask, kumbe mwenzangu ndio anachekelea uhuru wa manyani. Marriage life bila sex ndani ya nyumba pains a lot. Ana michepuko kila kona nilikoma kushika simu yake. Najenga nyumba he knows na hana hata interest ya kwenda kuangalia maendeleo.
Kwani dada...sayari unayoishi inaitwaje? Na hiyo mbususu bado umemuhifadhia yeye au? 8 years 🙄🙄🙄. Kweli Kuna watu wataenda peponi nimeamini
 
Nadhani akiwa yeye kama baada ya Emotions zilizomsukuma kuandika hili kumtoka ataona alivyokosea. Humu hakuna aliyemshauri kwa Kusimama on neutral base. Kwasababu wengi humu wamejaa negativity and will laugh on your miseries while pretending that wako upande wako.
Angeleta mada hii kipindi japo yupo sobber au kapatana na mtu wake angeweza kuandika vyema
Lakini kuna comments nyingi tu za kujenga, naamini hataondoka mtupu...kwa namna moja ama nyingine atabadilika, apunguze roho ya huruma
 
Sijui kwanini siaminigi story ambayo haija balance or ya upande mmoja. Umemaliza masters ukiwa na miaka 20? Tanzania au nchi gani? Wakati ulipokutana na mshaji mkawa wachumba izo tabia zote mshkaji hakuwa nazo ndo maana ukampenda. Nini unadhani kili mbadilisha jamaa? Hapo upande wa jamaa haujazungumza ili story ibalance

Wanaume sisi huwa tupo tofauti sana kuna mtu ukimkosea jambo kubwa anaweza badilika makusudi ili uondoke tu. Hujawai mkosea jamaa jambo ambalo hawez saau? Anyway najaribu tu kufikiria zaidi ya ulicho kiandika .pole sana lakini
 
Pole sana rafikiangu. Just listen your heart, then fanya kile kitakachokupa amani moyoni mwako
 
Back
Top Bottom