Am I wrong if I process divorce?

Run. ..run run...
Divorce or no divorce just run and run..

Why miaka yote unevumilia?

Mlikutana wapi kwanza??

So sad...just run na asijue unaishi wapi..

Ofisin waambie wakimuona wajue mmeshaachana agiza walinzi wampe kipigo cha kutosha..
Dooh!!
 
Your husband is toxic in nature na hajiamini ndio maana ana hurt feelings zako, nikupe Pole we live once huyo kakufanya mtumwa kila jambo ufanye wewe na akupangie kuvaa mhhh nikupe pole wallah. Be strong asije kukusaababishia magonjwa kwa kupuuza ujinga wake na uenjoy life.
Bahati mbaya umetoa hukumu kwa kusikiliza upande mmoja.....
Ad Allterum Pattern.....
hear the other side.......
 
My dear nakuelewa sana. Myself ni muhanga wa matukio kama hayo. Ila wangu hapigi ila he's never at home, hana time na mimi kabisa kila siku anarudi saa 6,7,8,9 usiku. No sex for 8 years now sio kwamba sitaki yeye ndio hataki. Mwanzoni i used to cry a lot lakini nimekuwa sugu. I dont ask tena simuulizi hata arudi asubuhi. I stoped buying chochote kwa nyumba. He buys everthing including hela ya petrol na ya kula kazini, Ila anafanya vyote but hakuna upendo kabisa. Hana cha Jumapili wala sikukuu akitoka kurudi ni very late hours. Nilidhani nikikaa kimya atabadilika ajiulize why i dont ask, kumbe mwenzangu ndio anachekelea uhuru wa manyani. Marriage life bila sex ndani ya nyumba pains a lot. Ana michepuko kila kona nilikoma kushika simu yake. Najenga nyumba he knows na hana hata interest ya kwenda kuangalia maendeleo.
8yrs...?
Hii iingizwe kwenye kitabu cha rekodi za dunia, mnalala kitanda kimoja? Au amekuwa hadin..di ?

Kama huna mcheps na wewe nakuinguza kwenye kitabu cha rekodi za dunia, Ila 99% unajimegea pembeni kimya kimya which is okay IMO.

Pole sana, hakuna mapenzi...hakuna mawasiliano..hakuna maendeleo!!!
 
Hahahah wale wa kwenye wishlist unasogeza mmoja ndani ila mwanamke easy sana kujisevia makende kuliko sie wataftaji wa utelezi!

Inabidi uwe na bay ya papuchi nyingi ili siku ukame ukizidi unaiseti moja unailabua ila kimbembe ukiwa single kama gundu madem wanakukataa kisenge!
Tafuta hela mautelezi kibwena
 
My dear nakuelewa sana. Myself ni muhanga wa matukio kama hayo. Ila wangu hapigi ila he's never at home, hana time na mimi kabisa kila siku anarudi saa 6,7,8,9 usiku. No sex for 8 years now sio kwamba sitaki yeye ndio hataki. Mwanzoni i used to cry a lot lakini nimekuwa sugu. I dont ask tena simuulizi hata arudi asubuhi. I stoped buying chochote kwa nyumba. He buys everthing including hela ya petrol na ya kula kazini, Ila anafanya vyote but hakuna upendo kabisa. Hana cha Jumapili wala sikukuu akitoka kurudi ni very late hours. Nilidhani nikikaa kimya atabadilika ajiulize why i dont ask, kumbe mwenzangu ndio anachekelea uhuru wa manyani. Marriage life bila sex ndani ya nyumba pains a lot. Ana michepuko kila kona nilikoma kushika simu yake. Najenga nyumba he knows na hana hata interest ya kwenda kuangalia maendeleo.
Nimejikuta tu nashangaa, unaweza ukaona wewe unapitia changamoto ila ukisoma visa vya ndoa zingine unaona kama ya kwako ni mteremko kabisa

Pole sana, Mungu akupe Amani ya moyo na ujasiri wa kuhimili
 
dada yangu aliniambia hivi pia ni mtu pekee anaejua hizi changamoto zangu. Lakini nimekataa kuvaa dira kazini. Nilikata nywele baada ya kipigo March lakini anatuma msg ambazo sizijibu kwa sasa..kwamba nimechukiza sana kunyoa bora nivae ma wig. Binafsi sipendi wigs..its either my own natural hair au ninyoe hivi na nimeridhika sana na nilivyonyoa baada ya dada yangu(msiri wangu) kuniambia nimependeza na yeye akakutana na rafiki yake mmoja aliniona ofisini akamwambia ' shem' amenyoa amependeza sanaa...ndio akaja na msg ya kuniambia ninachukiza sana na simvutii. Sijamjibu mpaka leo..anasema simheshimu..ukimya umekuwa amani kwangu maana naona ana play psychology
Ila huyo ni kichwa ngumu, he did it on purpose, yaani yeye anapenda tu kukutia frustrations, you better ignore him like he does not exist
 
Pole Sana,
Ndoa zina shida na raha,,upendo wa kweli hudhihirika wakati wa shida na mateso.

Je,tukiwapenda watupendao twafanya ziada gani?
Wapendeni wote,waombeeni wanaowaudhi.

Zidi kuomba,usichoke..
Ipo siku atabadilika,,,kuwa mwaminifu na msihi Mungu ambadilishe.

Nb: Sikushauri uvunje ndoa yako.
Upendo wa kweli hudhihirika wakati wa shida na sio MATESO, anaekupenda kwa dhati hakutesi..
 
Aisee hili swala limekuwa serious sasa ina maana hawa watu ni wa kuanzishiwa uzi kabisa wanaosusa mboga nyumbani! 8 years ukae na mwanamke binti wa mtu humkazi? Yani toka 2013 jamaa ajafunua kyupi chako hadi jembe Magu katawala hadi kafa na kuzikwa ???

How do you deal with it?
 
Kaka, huyu sindumwe ni mhanga mwingine wa waume wenye matatizo ya nguvu za kiume na kuishia kuwaumiza wake zao badala ya kufunguka na kutafuta msaada pamoja kwa upendo.
Principle ni ile ile rahisi sana, MWANAUME MALAYA ANAGONGA NDANI NA NJE..!!!!
Maana hapo awahi kurudi nyumbani mke aanze usumbufu wa kudai tendo wakati mboo kusimama kwa manati na juhudi kubwa sana? Awahi kurudi ili iweje sasa??
Miaka nane hagongi mkewe eti ana michepuko mingi
Fuatilia hiyo michepuko, hamna kitu hapo wengine anawalipa tu hata hawagongi kwa sababu hana uwezo huo! Anajionyesha hivyo kuwa ana michepuko ili kumuumiza mke na kumzuga ajione yeye (mke) ndo ana kasoro kuficha hayo madhaifu yake ya upungufu wa nguvu za kiume.
Psychology 101.
Extrovert
Hii inawezekana kuwa kweli
 
Hello,
I have always been reading threads without commenting. Kwanini nimeanzisha hii thread?

I am a married lady..in my very early 30s( with over 11 years of marriage experience). I got married when I was in my early 20s. Graduated my masters in my very early 20s as well.

It has never been a peaceful marriage pamoja na jitihada nyingi nilizofanya mimi kuisimamia na kujinyenyekeza kwa kuweka elimu na appearance yangu pembeni. Kifupi tu ya ninayopitia;

1. Being heavily beaten mpaka kulazwa whenever he drinks( mind you, he is a regular drinker)

2. Hakuwahi kuja msiba wa baba yangu mzazi sababu kuu 'alikuwa na washkaji trip'

3. Sijui sh.yake japo anajenga..so i pay for house and family needs mpaka nilipojua ameandikisha hio nyumba jina la ndugu yake

4. Gari pia nilimpa hela akaninunulie yard hapa mjini karudi kaiweka jina lake. Sio kwamba hana hela..no he is financially stable.( sijui ananikomoa nini na sijawahi kutishia kuondoka wala nini-kwa wanaonijua nje wanaweza kuthibitisha hili)

5. Restrictions with my dress code. Anataka nishone vitenge mpaka miguuni. Ana wivu wa ajabu sana na mimi kupendeza au hata kusuka nywele hataki. Hataki nivae suruali,jeans and he found me wearing all those.He wants me rough NOW na anasema nataka kupendeza kwa ajili ya nani? Ananitumia mpaka threads sijui za wanawake 'wenye makalio makubwa hawana akili' nijitathmini na mimi(he picks everything from the internet). Hili halinisumbui sana because i know nina akili ya shule na maisha pia

6. Sex life is bad..very bad( nilishakamata mengi kwenye simu yake). And to be honest it is better this way..kwamba hatushiriki like normal married couples miezi minne sasa na wala hajali yani sawa tu kwake. Binafsi nitavumilia sababu afya yangu matters a lot

7. Sijawahi kumjibu chochote, ninaomba msamaha hata ninapokosewa, ninaandaa bedroom na scents nzuri, napika napeleka mtoto kwa dada yangu for sleep over ili tupate muda fulani ila ndio anarudi alfajiri na asubuhi ananiuliza nani kanifundisha mambo ya kihuni. Vikao vilishakaliwa mno..i know for a fact, he won't change.

8. I have shared my case kwa mtu mmoja tu,a man lately..ambae amekuwa so concerned na sijui tutaenda nae wapi as am beginning to fall in love na yeye(najua inabidi niwe muangalifu kwa wanaokuja kusikitika na mimi kumbe amenitamani tu kutokana na physical appearance and all that)

Sijaacha kuwa msafi..sijaacha kujipenda BUT i am dying deep down. NO LOVE NO SUPPORT hata ile kidogo na sijamuongelesha kwa mara ya kwanza toka anipige miezi 4 iliopita na kulazwa(sababu hapa ilikuwa sikuvaa nguo kama madira ambapo kazini siwezi kuvaa japo navaa kiheshima sana yet smart)na kisha kurudi nyumbani baada ya kusuluhishwa..hajui naishi vipi japo nina kazi yangu ni kama KAKA NA DADA.

Our wedding was a church wedding. NIMECHOKA. Sijui naanzia wapi kutoka but ninahitaji kutoka kwenye hiki kifungo

I believe atakuja kunifukuza kwenye nyumba alioiandika jina la ndugu yake. Maana hapa ni kama mpangaji na hela anayo mpaka ya kunywa ma hennessy kila weekend. I am a God fearing person deep down..sana! Sikuwahi kuwaza kwanini wengine wananunuaga viwanja pembeni..na nilikuwa mtu wa kwanza kupinga wanawake wa aina hii.

Ninasukumwa kuanza 'ku save kidogokidogo' na kupunguza kulisha familia ili nijipange na kibanda changu japo najiuliza mpaka nimefanikiwa kumaliza kujenga sio leo wala kesho i assume(kutokana na nachoki earn) na nitakuwa tortured kwa level ipi mpaka nimalize kujenga. Niko confused hasa

But I need advice..ninachanganyikiwa hata kazini performance inashuka.
Kindly advice

Kanisa wala waumini wenzako hawaishi na hawajui maumivu yako.

Kama haya yote ni ya kweli, nakushauri ujiondokee. Maranyingi nawashauri watu wasikimbilie kuvunja ndoa lakini kwako naona ndiyo njia sahihi.

Mtu huyo hakuthamini hata kidogo. Ila pia usikimbilie kumpa huyo rafiki yako moyo wako. Kwa sasa hali yako ya upweke na kutokuonyeshwa mapenzi yanakufanya uhisi kumpenda huyo kwasababu anakusikiliza na kukupa attention.

Siyo jambo la busara kwa sasa. Jipe muda, upone angalau baada ya kutafakari na kufanya maamuzi kwa utulivu utajua cha kufanya. Inawezekana huyo baharia kaona unachopitia akaitumia kama fursa kukuvua chupi kiulaini. Wewe ni target nyepesi sana kwa sasa.

Kama unaweza, kapange kwako, huyo mumeo asipajue na ujiondokee kimya kimya. Maisha ni mafupi sana hatutakiwi kuvumilia ujinga kwa wasiotuthamini.
 
May the God i worship just forgive you kaka..nitunge kwa faida ya nani? Am i getting paid publishing this. Kuna muda faraja na sincere advise is what we need..kusikilizwa tu kwanza
I'm not kaka my dear I was replying someone's quote so don't be bitter to people who can comment different things than what you wish, it's just a matter of seeing issues from different angle, I pray you solve ur problem and move on with life full of enjoyment
 
Dah jamaa kumbe hiki ndio kiini cha tatizo sasa! Kule kote ulipita njia ndefu sema sasa kama angekusikiliza ungeweza mpeleka mahali penye tiba akasaidiwe! Watu kama hawa ndio walimpa Dr.Mwaka wake kama zawadi ya uzembe wao!

Jamaa ubabe Tambo halina kazi aisee, anajua kitandani ishakuwa mtihani sasa bora akuharibu sura hata huko barabarani wasikutamani uwe rough! Akili ya kitoto sana
Nguvu za kiume zinaisha kwa sabb gani sasa uzee?
 
Back
Top Bottom