Am i the only one freaked out by google+ ??????

bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,800
1,250
wanajamvi, hii software inanibore kwanza nililazimishwa tu nikajikuta iko kwenye galaxy yangu worse enough ina install na ku update vitu nsivyovitaka its like a controlled freak acts on its own!!!

ina back up files zangu za miziki, video kwenye gallery its chaos na kila nikiitoa inarud!!! imenilazimisha nijiunge na chat yao alafu inaniwekea vitu hata nsivyovitaka ktk profile.... i never wanted the profile or even the app in the first place!!! kuna mtu yoyote anajua namna ya kuidhibiti maana inanimalizia MB bure na its such heavy app inakula ram yangu!!!
 
Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,220
2,000
Namna ya kuidhibiti ni kuiondoa hiyo app na ikiwezekana jitowe kabisa G+ (ingawa si jambo baya kuwa nayo).
 
dabluz

JF-Expert Member
Feb 28, 2013
2,406
2,000
Kiukweli mm nimeipenda hasa kwenye upande wa back up..
Niliibiwa simu yangu ila baada ya kununua nyingine ile naingia tu kwenye net vitu vyote vikarudi ambavyo vilikuwa kwenye simu ya mwanzo.. nilifurahi sana hadi contacts and SMS.
 
bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,800
1,250
Namna ya kuidhibiti ni kuiondoa hiyo app na ikiwezekana jitowe kabisa G+ (ingawa si jambo baya kuwa nayo).

sio rahisi kwa sababu as long unaihataj account ya google ktk android device hii google+ wanakuwekea automatic!!! na kila niki uninstall baada ya mda inarudi!!!
 
bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,800
1,250
Kiukweli mm nimeipenda hasa kwenye upande wa back up..
Niliibiwa simu yangu ila baada ya kununua nyingine ile naingia tu kwenye net vitu vyote vikarudi ambavyo vilikuwa kwenye simu ya mwanzo.. nilifurahi sana hadi contacts and SMS.

back up ya data zako inafanyika tu ukiconnect kweny samsung kies kwa compyuta so its not necessary uwe na G+
 
BOB OS

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
3,323
2,000
wanajamvi, hii software inanibore kwanza nililazimishwa tu nikajikuta iko kwenye galaxy yangu worse enough ina install na ku update vitu nsivyovitaka its like a controlled freak acts on its own!!!

ina back up files zangu za miziki, video kwenye gallery its chaos na kila nikiitoa inarud!!! imenilazimisha nijiunge na chat yao alafu inaniwekea vitu hata nsivyovitaka ktk profile.... i never wanted the profile or even the app in the first place!!! kuna mtu yoyote anajua namna ya kuidhibiti maana inanimalizia MB bure na its such heavy app inakula ram yangu!!!
Mkuu sio wewe tu

!!!!
░░░░░░███████ ]▄▄▄▄▄▄▄▄ Bob is building an army.
▂▄▅█████████▅▄▃▂ ☻/ This tank & Bob are against Google+
Il███████████████████]. /▌ Copy and Paste this all over
◥⊙▲⊙▲⊙▲⊙▲⊙▲⊙▲⊙◤.. / \ Youtube if you are with us
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,733
2,000
kaka kama huijui google+ ni bora ujiepushe nayo inarekodi kila data zako kwa ajili ya matangazo ya google.

unaweza kufurahi wanabackup vitu vyako ila inakua sio siri tena. na kama una acount ya youtube au gmail basi jua we tayari upo g+.

na mbaya zaidi sasa hivi wanarecomend hadi majina. mfano we na dada yako wote mupo g+ ukaingia website lets say ya porn inayoitwa DADAPOA.KOM dada ako nae akiingia google website nyengine ya porn g+ watamsaidia watamwambia kaka yako anaingia dadapoa je na wewe unataka kwenda?

nimetoa mfano mkali kidogo ila ni kwa ajili ya kujihami na mjue haya mambo. hii wana implement kwenye website unazoenda, vitu unavyonunua, site za kuchat, miziki na video unazodownload na karibia kila eneona hii itatuathiri sisi waafrica tusiosoma terms and condition tunajua kuclick agree tu
 
kwa tunaotumia device za android wanaku creatia hii account automatic unaikuta kwenye cim kuna namna kweli ya kuachana nayo!!! na sasa ivi hata u tube huwez comment kama huna hii account!!!

what i hate most ni wao ku backup data zangu kwenye mahali nsipopataka au kupa authorise!!
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,733
2,000
kwa tunaotumia device za android wanaku creatia hii account automatic unaikuta kwenye cim kuna namna kweli ya kuachana nayo!!! na sasa ivi hata u tube huwez comment kama huna hii account!!!

what i hate most ni wao ku backup data zangu kwenye mahali nsipopataka au kupa authorise!!

vitu vyote unaweza ondoa ila by default wanakusajilisha service zote. mi huwa rom yangu ya android haikai service za google hivyo sifahamu kwa android unafata procedure gani ila kwa pc (web) ni rahisi tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom