Am I falling in love or is just a crush?

Njoo kwa mlumendago utulie kwani tatizo si kufika kibo tu ama kunanengine?
 
My advice just try to be close with him and try to show how do you feel and then take an opportunity to tell him the truth but you have to find a right place and in a right time.
Sio yuko busy na kazi we ndo wamwambia.
 
I'm 29 yrs old now. I have never been in any relationship, like seriou...

Nitakujibu kama mwanaume katika mazingira yangu ya asili.

Mwanamke mwenye vigezo vyangu akiwa anaonesha ananielewa hata kama nina mtu nitampa attention inayotakiwa na inawezekana hata tukawa wapenzi.

Asiye na vigezo nitafanya kama huyo jamaa anavyokufanyia kisha kuna siku nitakuita eneo la tukio, najua hauwezi kukataa, nakumega then kila mtu na njia yake.

Au najenga mazingira ujione wewe ndiyo mhitaji, usishangae ukajikuta unagharamia out zote mpaka lodge ukaja kulipia wewe.

By the way, hivi unajua hata ukiwa na urafiki na mtu ni uhusiano huo?
 
Thanks you [emoji120]
 
I think I will be humiliated. I have shown some actions which if he knows love, he might be able to understand. If he is into me as a man why did he jump into telling me that he is gonna marry while I don't even see his girl around?
 
Mkuu kuna posti yako uliandika kuwa unatamani kuolewa na mzungu maana wabongo wamekutapeli sana. Vipi huyo unayemfukuzia ni mzungu?
 
Utaliwa bure! Akili kumkichwa hivi mnashindwa nini kuwa na watu wanao wapenda badala ya kujishebedua kuwapenda mnaodhani mnawapenda...!

Be committed to those who love you and not those you love.
 
Very true
 
Ni ukweli unao umiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…