Am free from banning

Eddy Love

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
13,655
Reaction score
8,590
Haya sasa nimerudi na nguvu mpya na kasi kiukweri lile jukwaa la watu wazito halifai aisee naomba msiende kabisaa kama mmenimiss nipokeeni tena mdogo wenu
 
hahaha ilikuwaje mkuu?? ,,, sie tunakomaa nalo vp ulipewa bann ya mda gani
 
Pole sana Jipu,mbona mie huwa naenda mara kibao kule na sijawahi kulimwa BAN?
 
Last edited by a moderator:
naona Jipu unahitaji msaada... ngoja nikutengenezee plugin uistall katika profile yako ili ban zisiwezekane kwako... iweinadisable kabisa uwezo wa mods hadi admin kuweza kukupiga ban.... hapo ndo utakuwa ban free
 
Last edited by a moderator:
Inauma kishenzi mimi nimetoka jana.Na bado mbulula wananizingua ngoja nitafute kijiti
 
MoDs walikamua Jipu pole sana naamini litakuwa lina nafuu saizi jipu lako.
 
Last edited by a moderator:
naona Jipu unahitaji msaada... ngoja nikutengenezee plugin uistall katika profile yako ili ban zisiwezekane kwako... iweinadisable kabisa uwezo wa mods hadi admin kuweza kukupiga ban.... hapo ndo utakuwa ban free

siku hizi nawe upo huku
 
Last edited by a moderator:
Mkeo yupo au washamuoa maana jela si mchezo
 
naona Jipu unahitaji msaada... ngoja nikutengenezee plugin uistall katika profile yako ili ban zisiwezekane kwako... iweinadisable kabisa uwezo wa mods hadi admin kuweza kukupiga ban.... hapo ndo utakuwa ban free

utakuwa umefanya la maana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…