stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,107
mama mchungaji niliaga ila nilivyofika nikapotea jamvin ila nimerudi
stevoh kwa burudani murua ukiwa hapa home fungua 1O1.6 Arushaone FM. Radio yako. NEXT LEVEL.
Morning? ???mmmh!na mm nitaanza kusikiliza hiyo redio
utanifanya nifukuzwe kwetuu...
Morning? ???
Nilikuota last night jamani duh we had fun! !morning!kumbe na ww hulali kama mm
Nilikuota last night jamani duh we had fun! !
Tuki nani hii!!!!!!!!!!eeeeh!kama mimi?hata mimi nimekuota,kwani we umeniotaje!ila sema taratibu wasiskie watachonga kwa huby wangu
utanifanya nifukuzwe kwetuu...
KWANI KWENU HUWAGA HAMNA MAOMBI AU WEWE NI MTOTO WA JIRANI YANGU YULE MWENYE UNGA MWEUPE KICHWANI PLS NIAMBIE NISIJEKUKUALLIKA UKANITWANGA PANGA LA KICHWA BURE KAMA .................... ALIVYOTWANGA PANGA LA UTOSINI MAANA SIKU HIZI HAUTTUAMINIANI KABISA HAPA TANZANIA HASA WALE...................... SITAKI KUSEMA MIE HAPA KATIKA JOPO LA WAZEE WALIOTUKUKA HUSUSANI Bishanga