stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,107
Nilirudi wiki iliyopita tokea jijini Dar sasa natamba nikiwa hom Arusha yaani narudisha mwili kwanza maana matukio ya mwaka jana yalikua hatari zaid sina haja ya kuyaelezea.
Shukrani kwa Muumba aliye juu kwa kunipa nguvu na afya tena kuwaona wazazi wangu pamoja na ndugu, jamaa na marafiki.
Salamu zangu naanza kutuma kwa wana jamvi woooote.
Wanaongozwa na kaka zangu Erickb52 Mr Rocky, Arushaone, Madame B shemeji Donn etc etc etc.
Siwezi maliza list ni ndefu munoo hao niliwamisi sii mchezo daah namsahau mama mchungaji ladyfurahia na mwenyekiti Baba V.

Last edited by a moderator: