aha kumbe anata kunichezea na mimi aniacheee. mimi sio wa hivyo hapati kitu hapa.
Arushaone yaani nimekua na bahati mbaya sana na wanaume wa JEiEFU. yaani wote ninaokutana nao vimeo.
Leo nipo coco beach nimeanza weekend mapemaaaaaa
Nakuja. Lakini mbona asubuhi hakuna mihogo au upo kule kwenye miamba?. mia
On my way switihati!
Ktk siku nimekushuhudia unapoteza points ni leo!
Yaani amu anakutia ndimu! Tena haiwi hata ndimu nzima! Kipande tu cha ndimu, umechachuka?
Anakuchezea ki'childish unaruhusu kuchezeleka?
Mbona siku zote nakuona uko makini , stable , muelewe , leo umepeleka yote hayo wapi?
Unafanyiwa tracepass divertion unaruhusu kweli? Unachezewa game unagemuka?
Umenistikisha kuliko siku zote!
Wote tuseme Aamen!
aha kumbe anata kunichezea na mimi aniacheee. mimi sio wa hivyo hapati kitu hapa.
babe haya maneno yanatoka kinywani kwako!!!!!!