Am a job seeker | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Am a job seeker

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Du Bois, Dec 27, 2011.

 1. D

  Du Bois Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Me ni graduate wa SUA nina Bachelor ya Agribusines and agrieconomics,.plz am seriously seekin job ,.if u hear one inform me.
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu vipi hiyo elimu yako hauwezi kuitumia kujiajiri? ni razima uajiriwe?
  - Mkuu mimi naamini SUA ni moja ya vyuo vinavyo yoa kozi nzuri sana za kuweza mtu kujiajiri,

  - Mkuu kozi uliyo soma ni nzuri sana kujiajiri mimi mwenyewe na tamani ningesoma kozi kama hiyo ya kwako,

  - Jaribu kukaa chini na kuja na Aidia ya kufanya katika kilimo,

  - Utajisikiaje ukikaa mwaka mzima kutafuta kazi wakati una utalaamu wa kutosha kujiajiri?

  MKUU NAAMINI UKIAMUA UTAWEZA NA UTAKUJA KUFANYA MAMBO MAKUBWA SANA,
   
 3. s

  sabrisadick Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  check website ya NMB wametoa nafasi kwa watu wenye qualification kama yako hivi..gd luck
   
 4. D

  Du Bois Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pa1 sana wakubwa,.thanks 4 ur concern
   
 5. D

  Du Bois Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ishu capital Capital
   
 6. M

  Mas The Great Senior Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 145
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Watanzania wangapi waliowezeshwa kujiajiri kama sio kuchanganyana tu? Shule yenyewe kasoma kiwa mkopo tena kwa maandamano ya kudai huo mkopo. Wapi nsasa apate mtaji? hebu tujadili point tuache utani.

  Mshauri aende wapi akatafute huo mtaji kabla ya kumwambia ajiajiri
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Si ukaanzshe hata bustani za mboga mboga mkuu?
   
 8. Mpiga Nyoka

  Mpiga Nyoka JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Sasa kama wasomi wataenda kugema mnazi eti point ni kujiajiri sasa ambao hawajabahatika kusoma wafanye nini!?
   
 9. made

  made JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2011
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 246
  Trophy Points: 60
  Sasa huo mtaji atatoa wapi?hata shamba la mbogamboga linahitaji mtaji.Tutoeni mawazo ya msingi.
   
 10. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mi sipend tabia ya mtu ya kusema "JIAJIRI" UMENIPA CAPITAL NIKAKATAA...MI MWENYEWE NAWISH KUJIAJIR...
   
 11. K

  Kapoma New Member

  #11
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 3, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [When I Become a Big Boy
  This is like the little boy who says when I become a big boy, I will do this and this and I will be happy. And when he becomes a big boy he says, when I finish college and do this and this and I will be happy. And when he finishes college he says when I get my first job and do this and this I will be happy. And when he gets his first job he says when I get married and do this and this and then I will be happy. And when he gets married he says when the kids get out of school and I do this and this I will be I happy. And when the kids get out of school, he says when I retire and do this and this, I will be happy. And when he retires what does he see? He sees life has just gone by in front of his eyes.]
   
 12. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hizi ni pumbaa!
   
 13. m

  mziranda Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nenda pale jangwani au msimbazi kuna kazi kibao za saidia fundi wanaojenga nyumba zilizobomoka kwa mafuriko, au hii njia ya tandale kwa mtogole kuna mafundi wa barabara wana nafasi kibao wanaweza kukupatia, kwa siku elfu 25, hapo unasave paka 13 kwa siku au 15....kazi ni kwako
   
 14. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280

  Ni mtaji kiasi gani unatosha kuaznisha biashara?
   
 15. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu ushauri kama huu ni mzuri ila kutokana na mtu akisha kuwa graduate anaamini hawezi fanya kazi kama hizi, ila kuna siku tu
   
 16. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  -Tuache kusingizia CAPITAL KWAMBA ndo tatizo la watu kushindwa kujiajiri,

  - Hapa Arusha kuna Rafiki yangu mmoja hivi ni muhindi na ni Geaduate, ila baada ya kuhitimu chuo yeye ameamua aanzishe biashara maalufu kama Baba lishe na anameki sana, huwa anafanya hii kazi jioni, Hela anayo tengeneza kwa mwezi ni mshahara wa Mkurugenzi ila C C WABONGO TUMEBAKI KUSEMA CAPITA CAPITAL
  - Na huyu Muhindi lengo lake ni kukusanya mtaji na kufungua mgahawa mkubwa sana.

  - JE NI GRADUATE GANI ANAWEZA ANZISHA BIASHARA YA BABA LISHE NA AKAWA NASEVU MWENYEWE?

  - SISI TUTABAKIA KUSEMA MITAJI MITAJI WAKATI WENZETU WANABUNI KILA NJIA YA KUPATA MITAJI C C TUNASUBIRIA SERIKALI ITUPE MITAJI.
  TIME IS COOMING, TUNA SINGIZIA MITAJI KWA SABABU SYSTEAM HAZIJABANA SANA ILA KUNA KIPINDI TUPENDE TUSIPENDE HATA ZEGE GRADUATE TUTABEBA TU, NI WA KATI NDO HAUJAFIKA NDO MAANA TUNAONA GRADUATE KUANZISHA BUSTANI YA MBOGA NI KUJIZALILISHA

   
 17. mkibunga

  mkibunga Senior Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaweza kufundisha PCM au ECA kidato cha 5 sema upate kazi huku moshi utapata salary nzuri shule ya masister wa kihindi wanahitaji mwl
   
 18. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #18
  Dec 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  pumba kisa ni graduate sio?ebu nenda hapo nigeria uone ka graduates wa kule wanachagua kazi ka nyie wabongo.
   
 19. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #19
  Dec 29, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280


  mkuuasante sana,

  ila nakuhakikishia hilila nigeria hata huku litafika tu? Mkuu ni muda tu.

  - kwanza si nagerianenda kenya- kuna graduate wanafanya biashara ya umachinga, na tageti yakeakusanye mataji atoke

  - hapa tanznaia etiukishwa itwa graduate basi wewe ni wa sayali nyingine kabisa.

  time will tell

   
 20. J

  Jrafiki Member

  #20
  Dec 29, 2011
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni mfumo,tuna mfumo wa elimu nadhalia,elimu tunayopata vyuoni haitujengi ktk misingi ya kuthubutu na kujiamini ikichangiwa na mazingira mabovu(mikakati mibovu ikiambatana na ukosefu wa mitaji) kwa anayethubutu na kujiamini.Tukubaliane tatizo ni kubwa kuliko lisemwavyo na litaendelea kuwa kubwa kama hakuna hatua zozote za makusudi zitakazochukuliwa.
  Nini cha kufanya?
  1.Mfumo wa elimu(kiujumla)uelekeze nguvu nyingi ktk kumjenga mwanafunzi kuthubutu na kujiamini na si huu wa kukalili,kujibu mtihani mwishowe kusubiri/tegemea kuajiliwa.
  2.Kujitafutia fulsa(opportunities) mbalimbali.Sometimes wengi wetu hatuna idea ya nini tufanye,tufanyeje,tutafanikiwaje kwa njia zipi,everythng if u do sereously n properly is money.Swali naweza ulizwa wapi tukatafute fulsa?Ni kuongea na watu waangaikaji ktk maswala mbalimbali,kusoma vitabu vya ujasiliamali na mengneyo.
  Ikiwa nafasi moja ya kazi inaombwa na wastani wa watu 400 ambao wote muna elimu ya vyuoni kwa mwaka 2011 basi nihisivyo mwaka 2013 itaombwa na watu 700.
  ..Ushauri wangu..
  1.Kwa walio masomoni(level yeyote) TOENI DHANA YA KUAJILIWA VICHWANI MWENU fikiri unachasoma kitakusaidiaje kupambana na maisha KABLA YA KUAJILIWA(assuming KUAJILIWA KUMEFARIKI).Ila itakapotokea kabla hujaanza kulalamika njaa na ukapata bahati ya kuajiriwa hongera kwako na ni jambo jema japokuwa siwashauri mulifikirie hilo kwanza,kwa kuwa hapo ndipo tunapopotezea muda mwingi.
   
Loading...